TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 3,353
- 11,038
Mm pia nimechagua hivi na kuna mtu hapo juu kachagua hivi pia na wewe pia na sidhani kama kuna aliyemtazama mwenzake,ukweli kama unajua mpira huwezi kuacha kupanga hivi maana kuna watu nimeona wanachagua viungo wenye skills za ukabaji wawili kati ya watatu..Timu ni lazima iwe na mtu wa kuwapoteza kama Busquets,mkabaji mwenye mapafu ya mbwa kama Kante na mchezeshaji kama Makelele1. BUSQUET
2. MAKELELE
3. KANTE