Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Kwa hiyo hapo ukiulizwa aliefanikiwa kwenye mpira atakua nani Mtaalamu wangu..Kwa kigezo cha makombe unataka kuniambia anderson alikua kiungo mzuri zaidi ya steven gerrerd kwa sababu anderson alichukua makombe mengi pale man u zaidi ya ambayo gerrard alichukua akiwa liverpool?