Mm pia nimechagua hivi na kuna mtu hapo juu kachagua hivi pia na wewe pia na sidhani kama kuna aliyemtazama mwenzake,ukweli kama unajua mpira huwezi kuacha kupanga hivi maana kuna watu nimeona wanachagua viungo wenye skills za ukabaji wawili kati ya watatu..Timu ni lazima iwe na mtu wa kuwapoteza kama Busquets,mkabaji mwenye mapafu ya mbwa kama Kante na mchezeshaji kama Makelele1. BUSQUET
2. MAKELELE
3. KANTE
Skills, Play Maker & Defensive mindedMm pia nimechagua hivi na kuna mtu hapo juu kachagua hivi pia na wewe pia na sidhani kama kuna aliyemtazama mwenzake,ukweli kama unajua mpira huwezi kuacha kupanga hivi maana kuna watu nimeona wanachagua viungo wenye skills za ukabaji wawili kati ya watatu..Timu ni lazima iwe na mtu wa kuwapoteza kama Busquets,mkabaji mwenye mapafu ya mbwa kama Kante na mchezeshaji kama Makelele
Hana mke nadhan unafaa sana kwake.Sijui mpira lakini mniambie yule mchezaji mbrazil anaitwa KAKA Tabasamu lake ni kiungo Bora sana kwangu. 😊
Makelele aliondoka real madrid kupisha ujio wa david beckham. Ulikua usajiri wa kibiashara huu, sio wa kuboresha timu.Mpira aliocheza Makelele Madrid wa kumwacha kwenye tatu bora sio kweli hata alivyokuja Chelsea aliuwasha sana huko Madrid walishindana aongezewe mshahara kidogo tu waligoma ilipelekea kocha kusema ukweli sio kosa lake kumuacha aondoke maana ikawa kati hawana watu kabisaa.
Edga davids alikua wa kawaidaMakelele
Davids
Vieira
Nafikiri saiv yupo single. Alitalakiana na mkewe. Mke alilalamika Kaka ni mtu mwema sana,kwaiyo inafika wakati alikua anamisi drama za kugombezwa, kukuta sms za michepuko kwenye simu, mume kurudi home asubuhi akiwa amelewa n. kSijui mpira lakini mniambie yule mchezaji mbrazil anaitwa KAKA Tabasamu lake ni kiungo Bora sana kwangu. 😊
Hana mke nadhan unafaa sana kwake.
🤣🤣🤣🤣🤣 Nashukuru jinsi mnavyonishauri kwa moyo wa dhati 🤗🤗 but I only asked for his tireless and warmly smile only thatNafikiri saiv yupo single. Alitalakiana na mkewe. Mke alilalamika Kaka ni mtu mwema sana,kwaiyo inafika wakati alikua anamisi drama za kugombezwa, kukuta sms za michepuko kwenye simu, mume kurudi home asubuhi akiwa amelewa n. k
Edgar hakua mchezaji wa kawaida alicheza vizuri walipokua na Zidane Juve hata Timu ya Taifa wakicheza na Seerdorf tuliona mpira mchezaji baadae alipata matatizo ya macho ilipelekea aweze kuacha mpira wazungu wakaja na miwani ya macho kwa mchezaji harafu wewe unasema alikua wa kawaida aisee mtu anaanza Juve ya kipindi hicho na kina Zizou..Edga davids alikua wa kawaida
1-DungaView attachment 3535488
Hao waliosimama ni lothar mathaus na dunga
Yani umesahau kumweka Xavi na Iniesta?View attachment 3535488
Hao waliosimama ni lothar mathaus na dunga
Sijamuona hapo Matheus Kunya na Jules Kunde.View attachment 3535488
Hao waliosimama ni lothar mathaus na dunga
hahaha we kweli Busu la KengeSijamuona hapo Matheus Kunya na Jules Kunde.
Namuona alikua na kiwango cha juu, binafsi yangu.Edga davids alikua wa kawaida
Mfano hapo pichani edgar anaweza kumweka benchi nani?Edgar hakua mchezaji wa kawaida alicheza vizuri walipokua na Zidane Juve hata Timu ya Taifa wakicheza na Seerdorf tuliona mpira mchezaji baadae alipata matatizo ya macho ilipelekea aweze kuacha mpira wazungu wakaja na miwani ya macho kwa mchezaji harafu wewe unasema alikua wa kawaida aisee mtu anaanza Juve ya kipindi hicho na kina Zizou..
Yeyote hapo anakaa bench wachezaji wanapimwa kwa mafanikio yao walipocheza sio kwa kuuchezea mpira mazee huyo Pitbull kabeba makombe na Ajax,Juve kama sio Ac basi Inter ana uefa mkononi na supercup wachezaji wako hapo wengi hawana uefa zaidi ya makombe ya ligi.Mfano hapo pichani edgar anaweza kumweka benchi nani?
Kwa kigezo cha makombe unataka kuniambia anderson alikua kiungo mzuri zaidi ya steven gerrerd kwa sababu anderson alichukua makombe mengi pale man u zaidi ya ambayo gerrard alichukua akiwa liverpool?Yeyote hapo anakaa bench wachezaji wanapimwa kwa mafanikio yao walipocheza sio kwa kuuchezea mpira mazee huyo Pitbull kabeba makombe na Ajax,Juve kama sio Ac basi Inter ana uefa mkononi na supercup wachezaji wako hapo wengi hawana uefa zaidi ya makombe ya ligi.