Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Kwa hiyo hapo ukiulizwa aliefanikiwa kwenye mpira atakua nani Mtaalamu wangu..Kwa kigezo cha makombe unataka kuniambia anderson alikua kiungo mzuri zaidi ya steven gerrerd kwa sababu anderson alichukua makombe mengi pale man u zaidi ya ambayo gerrard alichukua akiwa liverpool?
Kwa kigezo cha makombe ni anderson kwa sababu kachukua champions league na epl. Steven gerrard hana eplKwa hiyo hapo ukiulizwa aliefanikiwa kwenye mpira atakua nani Mtaalamu wangu..
Hiyo ni orodha ya defensive midfielders per se.Karibia wote ni defense midfielders hao. Ili utengeneze kiungo hao watu watu watatu mmoja awe defensive mawili wawe attacking
Hawa ni daraja lingine kabisa.
Kaka hawez chukua UTI sugu brohHana mke nadhan unafaa sana kwake.