Kama unazeeka ni wewe. Kwa taarifa yako uzee unazuilika. Cheki hapa!

Unasema huyo .kuna vidume vilikuwa miaka 1000+.
Na kuna mwaka tangu azaliwe hajafa
 
Huyo siyo Beyonce asilia ni makeup na icha za Beyonce zilizopambwa. Siku hizi watu wanacheza na makeup na graphics, anawezekana kuwekwa vyovyote anavyotakikana aonekane.

Hizo picha mwenyewe akiziona anauliza "huyu nani?"
ajuza na wewe weka yako ukiwa na miaka 25 miaka ile ya sabini tuone ulionekanaje.
 
Hivi ni kwanini wanawake munaoneana wivu
FaizaFoxy lazima aone wivu. Usikute yeye kazaliwa 1999 maziwa yamelala kama dekio, sura imekomaa mpk make up zinadunda. Bado kanenepeana minyama inqning'inia kama utumbo wa nyongeza.

Kwa ubaya huo anaachaje kumuonea wivu Beyonce mwenye umri wa mamake lkn bado anang'ara ?
 
kwi kwi kwi teh teh teh mie wa'50s.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…