Kama unazeeka ni wewe. Kwa taarifa yako uzee unazuilika. Cheki hapa!

Kama unazeeka ni wewe. Kwa taarifa yako uzee unazuilika. Cheki hapa!

Sofia vergara yuko 50s ila anaonekana bado mdada tuu.
Matunzo wewe ufukie viazi asbh mchana jioni ( vyakula vya wanga) ilhali mwenzio anakula balance diet,mazoezi na anazungukwa na wataalamu wa afya masaa 24. Hamuwezi kuwa sawa kimuonekano.
Kwani viazi siyo chakula ?
 
Ila mbinu za kuonekana kijana zipo.... huwa unamfuatilia Rais wa Marekani Joe Biden... ana miaka 80 lakini ukimuangalia vizuri anaonekana kama hajazeeka..

Nadhani ni kuishi maisha ya afya... mfano kuna watu wanakuambia ukiwa unakula sana chakula mwili unazeeka haraka kwasababu, mwili unapokuwa unamengenya chakula huwa unatumia energy kubwa sana ambayo inachangia kuzeesha mwili

Uko sahihi, na kuzingatia aina ya vyakula na mazoezi.
Mfumo wa maisha una mchango Mkubwa sana kwenye mwonekano wa mtu.

Lakini Kuna watu Wana vinasaba vizuri hawazeeki haraka.
 

Attachments

  • Screenshot_20231001-215205.png
    Screenshot_20231001-215205.png
    154.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_20231001-215036.png
    Screenshot_20231001-215036.png
    252.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20231001-215016.png
    Screenshot_20231001-215016.png
    144.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20231001-214841.png
    Screenshot_20231001-214841.png
    259.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20231001-214808.png
    Screenshot_20231001-214808.png
    189 KB · Views: 4
  • Screenshot_20231001-214737.png
    Screenshot_20231001-214737.png
    239.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20231001-214752.png
    Screenshot_20231001-214752.png
    186.9 KB · Views: 5
Back
Top Bottom