Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Tupe picha ya bi hadijaHuyo siyo Beyonce asilia ni makeup na picha za Beyonce zilizopambwa. Siku hizi watu wanacheza na makeup na graphics, anawezekana kuwekwa vyovyote anavyotakikana aonekane.
Hizo picha mwenyewe akiziona anauliza "huyu nani?"