Kama unazeeka ni wewe. Kwa taarifa yako uzee unazuilika. Cheki hapa!

Kama Madonna pamoja na ubilionea wake na Faiza wamekongoroka ni swala la muda tu. Japo Beyonce kiumri bado sana sii unamuona Jlo
 
FaizaFoxy lazima aone wivu. Usikute yeye kazaliwa 1999 maziwa yamelala kama dekio, sura imekomaa mpk make up zinadunda. Bado kanenepeana minyama inqning'inia kama utumbo wa nyongeza.

Kwa ubaya huo anaachaje kumuonea wivu Beyonce mwenye umri wa mamake lkn bado anang'ara ?
Kweli wanawake mnaoneana wivu! Si kwa mipasho hii!
Wewe umejuaje umri wa FaizaFoxy ? Usiyaamini maneno yake. Unaweza kukuta ni kasichana la miaka 19 tu
Kamaliza degree ya kwanza 1982! Kuwa na adabu kwa Bibi yako
 
Huyo siyo Beyonce asilia ni makeup na icha za Beyonce zilizopambwa. Siku hizi watu wanacheza na makeup na graphics, anawezekana kuwekwa vyovyote anavyotakikana aonekane.

Hizo picha mwenyewe akiziona anauliza "huyu nani?"
Upo sahihi wengi hutumia make-up na photoshop lakini anacho ongea jamaa ni kweli na sio Beyoncé tuu kuna celebrities wengi hawazeeki mfano kama Pharell Williams.
Ingia hata account ya Instagram ya Beyonce utajionea, hawez kufanya photoshop kweny kila picha na video anazopost maana hapungukiwi chochote hata mkianza kuona ametoka makunyanzi usoni.
 
Sofia vergara yuko 50s ila anaonekana bado mdada tuu.
Matunzo wewe ufukie viazi asbh mchana jioni ( vyakula vya wanga) ilhali mwenzio anakula balance diet,mazoezi na anazungukwa na wataalamu wa afya masaa 24. Hamuwezi kuwa sawa kimuonekano.
 
Hahah...

Kasinde aina zote za surgical procedures za kuondoa makunyanzi ni salama kabisa

Msafiri usinishawishi tasavali.....
Unajua risepusheni haina spea....

Nikishaacha waanze kuichokonoa na kunyoosha ngozi...😅😅😅

Shugaaa, akili ya Kasie ni shidaa...😁😁😁😁 nilipofika hapo kwenye kunyoosha ngozi akili ikawaza vile namna ngozi ya muhogo huwa inavutwa kisha inakatwa kuondoa mkono wa sweta.....😋😋😋

Kidoogooo hapo nimeshawishika maana kule kukiumuka maashaalaaah, kukisinyaa hewala...😁😁😁.

Ila bado sijashawishika, kuvuta kunyanzi mara jicho lisogee karibu na sikio.....

Jumapili njema Msafiri maana hata simalizi kuwaza 😄.
 
Upo sahihi wengi hutumia make-up na photoshop lakini anacho ongea jamaa ni kweli na sio Beyoncé tuu kuna celebrities wengi hawazeeki mfano kama Pharell Williams.
Ingia hata account ya Instagram ya Beyonce utajionea, hawez kufanya photoshop kweny kila picha na video anazopost maana hapungukiwi chochote hata mkianza kuona ametoka makunyanzi usoni.
Hongera zao.
 
Msafiri usinishawishi tasavali.....
Unajua risepusheni haina spea....

Nikishaacha waanze kuichokonoa na kunyoosha ngozi...😅😅😅

Shugaaa, akili ya Kasie ni shidaa...😁😁😁😁 nilipofika hapo kwenye kunyoosha ngozi akili ikawaza vile namna ngozi ya muhogo huwa inavutwa kisha inakatwa kuondoa mkono wa sweta.....😋😋😋

Kidoogooo hapo nimeshawishika maana kule kukiumuka maashaalaaah, kukisinyaa hewala...😁😁😁.

Ila bado sijashawishika, kuvuta kunyanzi mara jicho lisogee karibu na sikio.....

Jumapili njema Msafiri maana hata simalizi kuwaza 😄.
Kasie rudisha avatar yako ya kwanza ile
 
Kapiga putty mkuu usidanganywe, ....kuzeeka ni kupo palepale as your age of living on earth goes
 
Huyo siyo Beyonce asilia ni makeup na icha za Beyonce zilizopambwa. Siku hizi watu wanacheza na makeup na graphics, anawezekana kuwekwa vyovyote anavyotakikana aonekane.

Hizo picha mwenyewe akiziona anauliza "huyu nani?"
Icha ni nini?
 
Back
Top Bottom