Kama unazeeka ni wewe. Kwa taarifa yako uzee unazuilika. Cheki hapa!

Kama unazeeka ni wewe. Kwa taarifa yako uzee unazuilika. Cheki hapa!

Miaka 42 mbona bado sana, hebu mwangalie Lure Hsu ana 42 pia ila utafikiri ana 20 hata Beyonce ataonekana mama kwa huyu
Ni miili tu na 42 bado mbona kuna wenye 70 ukiwaona utafikiri 40
Screenshot_20231001_135331_Chrome~2.png
 
Ukiwa na pesa
Ni kweli ukiwa na pesa unaweza kupata dawa ya uzee ambayo ni:-

1. Muda wa kufanya mazoezi. Siyo kila siku anakurupuka saa 10 au 11 asubuhi unaanza kukimbizana kwenda kutafuta riziki . Na unarudi saa 4 usiku.

2. Mlo kamili. Siyo kila siku asubuhi chai na vitumbua, halafu mchana na jioni wali na ugali.

3. Usingizi mnono.
Siyo unalala usingizi wa wasiwasi ukihofia vikoba na kausha damu.
 
Back
Top Bottom