Kama unazeeka ni wewe. Kwa taarifa yako uzee unazuilika. Cheki hapa!

Kama unazeeka ni wewe. Kwa taarifa yako uzee unazuilika. Cheki hapa!

Beyonce kabadirika ila kuzeeka bado.
Ndio kwanza yuko under 44 nadhani.
Tusubiri afike 50+ hapo.
Yani umri na matunzo aliyonayo. Bado ni mzuri ila amebadrika sana kutoka enzi hizo.
 
Huyo siyo Beyonce asilia ni makeup na icha za Beyonce zilizopambwa. Siku hizi watu wanacheza na makeup na graphics, anawezekana kuwekwa vyovyote anavyotakikana aonekane.

Hizo picha mwenyewe akiziona anauliza "huyu nani?"

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]
Bibi umesema me nani nipinge
 
FaizaFoxy lazima aone wivu. Usikute yeye kazaliwa 1999 maziwa yamelala kama dekio, sura imekomaa mpk make up zinadunda. Bado kanenepeana minyama inqning'inia kama utumbo wa nyongeza.

Kwa ubaya huo anaachaje kumuonea wivu Beyonce mwenye umri wa mamake lkn bado anang'ara ?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumekucha
 
FaizaFoxy lazima aone wivu. Usikute yeye kazaliwa 1999 maziwa yamelala kama dekio, sura imekomaa mpk make up zinadunda. Bado kanenepeana minyama inqning'inia kama utumbo wa nyongeza.

Kwa ubaya huo anaachaje kumuonea wivu Beyonce mwenye umri wa mamake lkn bado anang'ara ?
Easy man...!
Uwe na adabu kidogo mkuu. FaizaFoxy ni mama mwenye umri mkubwa zaidi ya miaka 60. Mpe heshima yake uwapo matembezini mitaa ya JF.
 
Mpasuaji mmoja alitaka kunifanyia bure anitoe kunyanzi usoni ili atangaze biashara...

Nikagoma, mambo ya kuumuka na kusinyaa nani anataka...😃.

Hahah...

Kasinde aina zote za surgical procedures za kuondoa makunyanzi ni salama kabisa
 
Huyo siyo Beyonce asilia ni makeup na icha za Beyonce zilizopambwa. Siku hizi watu wanacheza na makeup na graphics, anawezekana kuwekwa vyovyote anavyotakikana aonekane.

Hizo picha mwenyewe akiziona anauliza "huyu nani?"
Ila mbinu za kuonekana kijana zipo.... huwa unamfuatilia Rais wa Marekani Joe Biden... ana miaka 80 lakini ukimuangalia vizuri anaonekana kama hajazeeka..

Nadhani ni kuishi maisha ya afya... mfano kuna watu wanakuambia ukiwa unakula sana chakula mwili unazeeka haraka kwasababu, mwili unapokuwa unamengenya chakula huwa unatumia energy kubwa sana ambayo inachangia kuzeesha mwili
 
Wewe umejuaje umri wa FaizaFoxy ? Usiyaamini maneno yake. Unaweza kukuta ni kasichana la miaka 19 tu
Basi sawa yaishe mkuu. Lakini nijuavyo mimi kuna siku alitoa wasaa tumuulize chochote kuhusu maisha yake hivyo sitarajii kama alitupiga kamba kwa mengi aliyotueleza.
 
Hapana. Ni jina tu. Kwani mtu akiitwa Tiger Wood maana yake ni mnyama? Akiitwa Simba anakuwa mnyama?

Sexless haina maana yoyote na jinsi nilivyo
Ila Kila jina Lina maana ndani yake,hata uchaguzi ww majina bandia kama ya humu JF ...Kila mmoja anajua Kwa Nini alichagua jina Fulani!
 
Back
Top Bottom