Kama unazeeka ni wewe. Kwa taarifa yako uzee unazuilika. Cheki hapa!

Sofia vergara yuko 50s ila anaonekana bado mdada tuu.
Matunzo wewe ufukie viazi asbh mchana jioni ( vyakula vya wanga) ilhali mwenzio anakula balance diet,mazoezi na anazungukwa na wataalamu wa afya masaa 24. Hamuwezi kuwa sawa kimuonekano.
Kwani viazi siyo chakula ?
 

Uko sahihi, na kuzingatia aina ya vyakula na mazoezi.
Mfumo wa maisha una mchango Mkubwa sana kwenye mwonekano wa mtu.

Lakini Kuna watu Wana vinasaba vizuri hawazeeki haraka.
 

Attachments

  • Screenshot_20231001-215205.png
    154.8 KB · Views: 6
  • Screenshot_20231001-215036.png
    252.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20231001-215016.png
    144.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_20231001-214841.png
    259.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20231001-214808.png
    189 KB · Views: 4
  • Screenshot_20231001-214737.png
    239.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20231001-214752.png
    186.9 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…