Selemani Sele
JF-Expert Member
- Feb 25, 2023
- 319
- 711
Hii komenti imezuia michango mingi sanaTunaikumbuka sana jf ya zamani,ilikua ina akili kubwa siku hizi ni upuuzi tu
Tukirudi kwenye mada hayo majina wewe yanakusaidia nini au wewe ni mganga wa kienyeji?
Kama huna cha kuposti acha sio lazima
Hapana mkuu unaruhusiwa kumtajia majina yao, Karibu uendeleeHii komenti imezuia michango mingi sana
Ahsante mkuu wataendelea.Hapana mkuu unaruhusiwa kumtajia majina yao, Karibu uendelee
Tulia wewe km hutaki toka humuTunaikumbuka sana jf ya zamani,ilikua ina akili kubwa siku hizi ni upuuzi tu
Tukirudi kwenye mada hayo majina wewe yanakusaidia nini au wewe ni mganga wa kienyeji?
Kama huna cha kuposti acha sio lazima
Anna hao ndo walivyoTunaomba hii mada irudiwe irudiwe. Halafu wewe kama ni thinker nenda kwenye jukwaa sahihi, kwanini unakesha MMU?
Au utwambie umegundua nini Tanzania kwa u thinker wako, anyway turudi kwenye mada.
Mi najutia kutoka na Anna. Alikuwa mtamu sana, msafi sana ila alinipa mechi Mara moja tu. Mechi ya viwango vya kimataifa, nikaomba arudie akogoma, mpaka leo hataki na ameolewa I hope one day yes.
😂😂😂😂Nikiandika nimegundua nn mtanikimbiaTunaomba hii mada irudiwe irudiwe. Halafu wewe kama ni thinker nenda kwenye jukwaa sahihi, kwanini unakesha MMU?
Au utwambie umegundua nini Tanzania kwa u thinker wako, anyway turudi kwenye mada.
Mi najutia kutoka na Anna. Alikuwa mtamu sana, msafi sana ila alinipa mechi Mara moja tu. Mechi ya viwango vya kimataifa, nikaomba arudie akogoma, mpaka leo hataki na ameolewa I hope one day yes.
Walinzi watamu😂 sana😂😂😂😂Nikiandika nimegundua nn mtanikimbia