Kama ungekua na uwezo wa kurudisha nyuma muda manzi mmoja uliepiga na unajutia. Angekua anaitwaje?

Selemani Sele

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2023
Posts
319
Reaction score
711
Kuna ule.muda unakaa peke yako unasema najuta kufanya ngono na yule demu natamani muda urudi nyuma ili lisitokee.
Kwa mimi ni Aneth mshenzi alinipa gono na uti sugu
Nilikuwa nalia kama mtoto kudadeki.
Wewe je ni yupi huyo unajutia .
 
Tunaikumbuka sana jf ya zamani,ilikua ina akili kubwa siku hizi ni upuuzi tu

Tukirudi kwenye mada hayo majina wewe yanakusaidia nini au wewe ni mganga wa kienyeji?
Kama huna cha kuposti acha sio lazima
Tulia wewe km hutaki toka humu
 
Nili piga mlinzi asee hadi leo najihisi kama nili jishushia thamani sanaa maana kwake ilkua kama sifa ali tangazia walinzi wote wakawa wana niangalia .hizi ngenye acha tu
 
Tunaomba hii mada irudiwe irudiwe. Halafu wewe kama ni thinker nenda kwenye jukwaa sahihi, kwanini unakesha MMU?
Au utwambie umegundua nini Tanzania kwa u thinker wako, anyway turudi kwenye mada.

Mi najutia kutoka na Anna. Alikuwa mtamu sana, msafi sana ila alinipa mechi Mara moja tu. Mechi ya viwango vya kimataifa, nikaomba arudie akogoma, mpaka leo hataki na ameolewa I hope one day yes.
 
Anna hao ndo walivyo
 
😂😂😂😂Nikiandika nimegundua nn mtanikimbia
 
Back
Top Bottom