Chui jike
Mzee ungekua unaachia mashuzi ya hatari.Nyegere
Hahahahaha tunajifurahisha ndiyo lakini ulinenalo ndilo uliwazalo kila siku...... Jivunie kuwa wewe hata kama mada hii ni ya kujifurahisha......Usipanic mkuu, mi nimechangia kama mada ilivyo. Sasa kuna paka mwenye mke? Mbona unachukulia serious wkt ni topic ya kujifurahisha tu.
Kama ni kuufaidi mzoga wangu sio case mkuu,maana hata funza wataufaidi tu.ningechagua kuwa tai ili siku mzoga wako (tausi) ukitupwa niufaidi..
Ningekua mende ndugu.Makazi yangu toilet ili [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mimi ningechagua kuzaliwa Simba! Wewe je! Ungezaliwa mnyama gani? Au ndege gani? Na kwa nini?
Huyo ndege ana mkia mrefu yeye kila kitu anapeleka moto hata mti anakojiza tu.Huyu ndege gani tena mkuu?? Anaweza kumlala mpaka Simba au Chui??? Au hata Tai?
Duh!Aiseee kuna watu wa ajabu sana!Psychologically you seem to be unamaisha ya kawaida sanaa alafuu sura yako na umbo lako pia ni waka wai da kinyume na avatar yako
Pohamba unatisha na nina kukubali.Maana hii zaidi ya seamens twanga pepeta.Yani network search full timeHahahah! Magu anasababisha watu Antena zinacheza sasa wanawaza kuwa Wanyama
Sawa mkuu nimekusoma unachomaanisha. Nashukuru na ww umeelewa kwamba huu ni utani tu. Actually nmewahi kufuga nyau ndo maana nimemtaja kirahisi tu ila sio kwamba mi napenda kuiba mboga [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hahahahaha tunajifurahisha ndiyo lakini ulinenalo ndilo uliwazalo kila siku...... Jivunie kuwa wewe hata kama mada hii ni ya kujifurahisha......
Si uongo maana hata sipati picha.Basi nadhani wangekukoma Ndege wenzio, kina Tausi..
kweli hii ni kula uliwe hahaha! bora nibaki hivihivi duh!Kama ni kuufaidi mzoga wangu sio case mkuu,maana hata funza wataufaidi tu.
Na hata wewe utafaidiwa vilevile....
Inaitwa kuku kala mchele kisha kaliwa kwa wali....
Heheheee
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Bora niwe popobawaHuyu ndege gani tena mkuu?? Anaweza kumlala mpaka Simba au Chui??? Au hata Tai?
Na kwann wewe ulichagua uzaliwe simba,ila vizuri ukizaliwa jike,harafu mm niwe thimba dume,weeeeee!!kila tukikamata swala hatuli mpaka nikupige dushelele[emoji1] [emoji2] [emoji3]Mimi ningechagua kuzaliwa Simba! Wewe je! Ungezaliwa mnyama gani? Au ndege gani? Na kwa nini?
Na kweli mkwepa kodiMimi ningechagua kuwa funza halafu ningekaa cho cha shimo ili niwe naangalia vinyero na papuchi za watu