Kama ungepata nafasi ya kuzaliwa mara ya pili ila uwe mnyama! ungechagua kuwa Mnyama gani!???

Kama ungepata nafasi ya kuzaliwa mara ya pili ila uwe mnyama! ungechagua kuwa Mnyama gani!???

Usipanic mkuu, mi nimechangia kama mada ilivyo. Sasa kuna paka mwenye mke? Mbona unachukulia serious wkt ni topic ya kujifurahisha tu.
Hahahahaha tunajifurahisha ndiyo lakini ulinenalo ndilo uliwazalo kila siku...... Jivunie kuwa wewe hata kama mada hii ni ya kujifurahisha......
 
ningechagua kuwa tai ili siku mzoga wako (tausi) ukitupwa niufaidi..
Kama ni kuufaidi mzoga wangu sio case mkuu,maana hata funza wataufaidi tu.
Na hata wewe utafaidiwa vilevile....
Inaitwa kuku kala mchele kisha kaliwa kwa wali....
Heheheee
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Psychologically you seem to be unamaisha ya kawaida sanaa alafuu sura yako na umbo lako pia ni waka wai da kinyume na avatar yako
Duh!Aiseee kuna watu wa ajabu sana!
Yani unahangaika kumjengea picha mtu usiyemjua,ili iweje?
Hata kama ningekuwa kama unavyodai,wewe ungepungukiwa nini?
Kazi kwelikweli.
Sijui watu mnapata wapi huu muda kwakweli!
 
Hahahahaha tunajifurahisha ndiyo lakini ulinenalo ndilo uliwazalo kila siku...... Jivunie kuwa wewe hata kama mada hii ni ya kujifurahisha......
Sawa mkuu nimekusoma unachomaanisha. Nashukuru na ww umeelewa kwamba huu ni utani tu. Actually nmewahi kufuga nyau ndo maana nimemtaja kirahisi tu ila sio kwamba mi napenda kuiba mboga [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Kama ni kuufaidi mzoga wangu sio case mkuu,maana hata funza wataufaidi tu.
Na hata wewe utafaidiwa vilevile....
Inaitwa kuku kala mchele kisha kaliwa kwa wali....
Heheheee
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
kweli hii ni kula uliwe hahaha! bora nibaki hivihivi duh!
 
Mimi ningechagua kuzaliwa Simba! Wewe je! Ungezaliwa mnyama gani? Au ndege gani? Na kwa nini?
Na kwann wewe ulichagua uzaliwe simba,ila vizuri ukizaliwa jike,harafu mm niwe thimba dume,weeeeee!!kila tukikamata swala hatuli mpaka nikupige dushelele[emoji1] [emoji2] [emoji3]
 
Back
Top Bottom