Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha tupo pamoja... Ila utakuwa unapenda sana wali nazi, naomba umwambie shemeji nitakuwa mgeni kwenu, ahsante sana...Sawa mkuu nimekusoma unachomaanisha. Nashukuru na ww umeelewa kwamba huu ni utani tu. Actually nmewahi kufuga nyau ndo maana nimemtaja kirahisi tu ila sio kwamba mi napenda kuiba mboga [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahaaa! Hiyo Avatar yako sawasawa na Mawazo yako! By the way Mimi ningekua Simba Dumbe! King of the Jungle....!!!Na kwann wewe ulichagua uzaliwe simba,ila vizuri ukizaliwa jike,harafu mm niwe thimba dume,weeeeee!!kila tukikamata swala hatuli mpaka nikupige dushelele[emoji1] [emoji2] [emoji3]
Ndio popobawa, au popobawa si mnyama?Mmmh! Popobawa tena!!??
Sasa wew c'umechagua kuwa simba,unacholalam nn,mbona huna shukurani mkuuu,mm simba mwenzi(mzazi mwenzio nipo),ndomana nimekwambia tukikamata tu swala wetu tunamuacha kwanza nakupiga dushelel,theni tutahamia kula,sawa thimbaHahahaaa! Hiyo Avatar yako sawasawa na Mawazo yako! By the way Mimi ningekua Simba Dumbe! King of the Jungle....!!!
Na nipo mwanza mkuuKama ungeishi Mwanza, ungetumika na Wachawi Mkuu!
Ahhhh wa kiume ni hatari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bila shaka ungekua Nyegere wa kike! Bora wa kike wakiume majanga!