Kama upelelezi hautafanyika vizuri Kanisa la Masanja basi tutarajie tukio jingine

Huu ujumbe si wa mtu mwenye uwezekano wa kujiua hata kidogo... Matumizi ya emoj, herufi kubwa na mpangilio wa maneno... Kujiua huwa kunatawala na panic... So ni impossible huyu mtu akawa ametulia kabisa na kuandika ujumbe huo.

Na ni vipi kama mto wa hapo si mto wenye maji tuyadhaniayo... mtu anaweza asipike na akala kwa jirani na akashiba... Japo chakula hajanunua yeye...
 
Hapo kwenye simu hapo.
 
Umeandika mengi mno; the chances ni kwamba kilichofanyika hapo yaweza kuwa ni maigizo yaliyokusudiwa kuficha crime; na possibly kuwachafua pia Mama Mchungaji na Baba Mchungaji. Kuwa mwangalifu sana na matukio ya aina hii; tuseme unaposikia kishindo kikuu ukiwa upo Kariakoo, usiangalie hapo Kariakoo; angalia Chalinze au hata Morogoro kabisa ikiwezekana
 
Hahahaah jamani
 
Tafuta kazi jobless wewe
 
Kwamba huu ujumbe ulitumwa kwa mke wa mama mchungaji.... Ujumbe binafsi wa simu... Nani aliusambaza kwenye mitamdao ya kijamii???

Nimeuliza hili watu wanasema alisambaza Dm za watu wa karibu[emoji26]
 
Vipi na ile video mama mchuu ni yenyeweau nayo imefanyiwa spinning?
 
We are discussing pure speculations..are we fools?
 
Paragraph ya kwanza anasema ..... ujumbe wa mwisho KWAKO...... ambayo ni sawa alafu paraghraph ya mwisho aingii akilin ansema...... utakuwa ujumbe wa mwisho KWANGU.
 
Hizi akili unazotumia hapa kuchunguza maisha ya wenye pesa na kujifanya FBI,zitumie kutafuta pesa,nchi hii mwenye pesa hafungwi(ni shetani JPM tu aliyefunga watu wenye pesa ambao hawakuwa sukuma gang).
Hata kama kwenye kifo Cha katibu Kuna "faul play),unafikiri masanja mjinga,ajapenyeza lupia kwa manjagu!!imeisha hiyo,
 
Kwani masanja ametangaza kumsamehe mke wake?
 
Wala hakuhitajiki nguvu kubwa kwenye hili.. Macho ya marehemu kupitia retina yamehifadhi matukio yote ya mwisho! Hivi unajua ni kwanini baadhi ya wauaji huwatoboa macho wahanga wao?
Bongo sidhan Kama polisi wetu wanayo teknolojia hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…