Wanaweza wakawa wamefumuliwa marinda nina mashaka na mtoa mada jinsi anavokataaMsijali daktari mwanamke nitakuwepo, wale wasiotaka kupimwa na wanaume watakuja kwangu niwafanyie vitu hivyo saba hapo juu,
Hahahaha kama nawaona vile mnavyoinama.
Halafu mbona upimaji wa kansa ya titi wanawake sio wabishi kuchezewa matiti yao?? nyie wanaume mna nini kwenye makalio yenu?
Hayo mapori itabidi muyafyeke kabla hamjaingia kwenye zoezi hilo.Sehemu nyingi za Haja Kubwa za Wanaume wengi huwa ni ngumu ngumu na kavu kavu hivyo ili kuleta ushirikiano uliotukuka baina ya Vidole vya Madaktari na Minyero / Minyabe ya Kiume nadhani itabidi ' Wese / Futa ' lihusike kwa sana tu. Ila sijui na yale ' Mapori ' yetu Tengefu ya Ihefu yanayokuweko huko itakuwaje Mkuu kwani huko huwa yanastawi mno.
huko sio pa kuguswaguswa hovyo hovyo paliwekwa kupitisha taka mwili sasa wewe upakwe ky na lijidole kama hili eti unapimwa uvimbe...!
View attachment 753308
Inaitwa ' Ndole Screening ' Mkuu. Wakazi wa Dar es Salaam hasa Wanaume Kazi tunayo mwaka huu hakyanani! Makonda sijui tumemkosea nini yaani anatutafuta sana lawama Sisi Wanaume wa hili Jiji la Wajanja na Watoto wa Mjini Bongo Land.
Hapana kwa mwanaume rijali inakua ngumu sana kukubali ila wakina James delicious kama nawaona watakavyokua wanapigana vikumbo kuingia kwa daktari mara mbili mbili hahahaWanaweza wakawa wamefumuliwa marinda nina mashaka na mtoa mada jinsi anavokataa
Halafu vuta picha daktari mwenyewe ana mkono kama huuView attachment 753310
Maumivu na mateso ya maradhi ndo yanafanya watu wanakubali kupimwa tezi dume. Lau kama ingekuwa hivi hivi tu watu wasingekubali kupimwaKwa kweli namna ya kupima tezi dume huwa inakatisha tamaa sana. Ingawa ndugu yangu GENTAMYCINE umeongezea chumvi kidogo, lakini kile kitendo cha kuingiziwa kidole cha kati ndani ya njia ya haja kubwa wakati wa kupimwa tezi dume kinafedhehesha sana tena sana.
Mimi sitakaa nije kupimwa tezi dume. Namwomba sana MUNGU BABA aniepushe na gonjwa hili lenye kufedhehesha.
Unakaa mtaa gani tuanzie uko
Kipimo cha tezi dume ni Ultrasound na damu tu.Shikamoo Mkuu. Nimekiangalia hicho ' Kidole ' cha Kati kilivyo kikubwa hapo pichani na sasa nawaza tu kuomba makazi ya muda katika mikoa ya jirani hasa wa Morogoro au Dodoma. Yaani ' dole ' lote hilo lipitishwe ' mtaroni ' kwa GENTAMYCINE kweli?
Kipimo cha tezi dume ni Ultrasound na damu tu.
Siku nitamuona Makonda kama ana akili timamu akitowa offer ya check up ya full medical examination ndio nitaanza kuamini kama kichwani ana akili timamu, lakini kwa sasa yeye na jiwe siamini kama ni wazima kichwani.
Ngumu kumeza ,hapimw mtu hap muraa
Kama hakuna dr wa kike sitaki kupimwaNimeshakuambia kwamba Madaktari wote wa Upimaji Tezi Dume waliopo Mkoa wa Makonda ni wa Kiume na utaratibu wa upimaji wao unasemekana ndiyo huo nilioutaja hapo juu Mkuu. Anza tu sasa kuliandaa hilo ' Nyabe ' lako lililotukuka kwa ajili ya hiyo ' Ndole Screening ' tafadhali.
Mkuu kasema kipimo kitakachotumika ni kile cha damu na sio hiko kengine cha kutumia kidole.