Kama upimaji wa TEZI DUME ndiyo uko hivi naomba niandaliwe mapema tu Gereza langu kwani nitaua Mtu!

Kama upimaji wa TEZI DUME ndiyo uko hivi naomba niandaliwe mapema tu Gereza langu kwani nitaua Mtu!

Status
Not open for further replies.
Nilishapima mara mbili na sikukutana na huu utaratibu, nilipimwa damu na ultrasound.
 
Msijali daktari mwanamke nitakuwepo, wale wasiotaka kupimwa na wanaume watakuja kwangu niwafanyie vitu hivyo saba hapo juu,

Hahahaha kama nawaona vile mnavyoinama.

Halafu mbona upimaji wa kansa ya titi wanawake sio wabishi kuchezewa matiti yao?? nyie wanaume mna nini kwenye makalio yenu?
Wanaweza wakawa wamefumuliwa marinda nina mashaka na mtoa mada jinsi anavokataa
 
Sehemu nyingi za Haja Kubwa za Wanaume wengi huwa ni ngumu ngumu na kavu kavu hivyo ili kuleta ushirikiano uliotukuka baina ya Vidole vya Madaktari na Minyero / Minyabe ya Kiume nadhani itabidi ' Wese / Futa ' lihusike kwa sana tu. Ila sijui na yale ' Mapori ' yetu Tengefu ya Ihefu yanayokuweko huko itakuwaje Mkuu kwani huko huwa yanastawi mno.
Hayo mapori itabidi muyafyeke kabla hamjaingia kwenye zoezi hilo.

Jamani na madaktari walivyo na huruma sasa, wakati wa kupaka hilo wese atapaka taratiiiibu huku anakuongelesha eti hahahaha kama nakuona utakavyokua umekunja uso huku ndita 12 zikionekana vizuri kabisa.

Poleni kaka zangu.
 
huko sio pa kuguswaguswa hovyo hovyo paliwekwa kupitisha taka mwili sasa wewe upakwe ky na lijidole kama hili eti unapimwa uvimbe...!
View attachment 753308

Shikamoo Mkuu. Nimekiangalia hicho ' Kidole ' cha Kati kilivyo kikubwa hapo pichani na sasa nawaza tu kuomba makazi ya muda katika mikoa ya jirani hasa wa Morogoro au Dodoma. Yaani ' dole ' lote hilo lipitishwe ' mtaroni ' kwa GENTAMYCINE kweli?
 
Inaitwa ' Ndole Screening ' Mkuu. Wakazi wa Dar es Salaam hasa Wanaume Kazi tunayo mwaka huu hakyanani! Makonda sijui tumemkosea nini yaani anatutafuta sana lawama Sisi Wanaume wa hili Jiji la Wajanja na Watoto wa Mjini Bongo Land.

Poleni mkuu, majanga hayo.
 
Kwa kweli namna ya kupima tezi dume huwa inakatisha tamaa sana. Ingawa ndugu yangu GENTAMYCINE umeongezea chumvi kidogo, lakini kile kitendo cha kuingiziwa kidole cha kati ndani ya njia ya haja kubwa wakati wa kupimwa tezi dume kinafedhehesha sana tena sana.

Mimi sitakaa nije kupimwa tezi dume. Namwomba sana MUNGU BABA aniepushe na gonjwa hili lenye kufedhehesha.
Maumivu na mateso ya maradhi ndo yanafanya watu wanakubali kupimwa tezi dume. Lau kama ingekuwa hivi hivi tu watu wasingekubali kupimwa
 
Na akishapitisha dole lake, na akakuta sina ugonjwa huo,
Kuna malipo ya kuperuz sehemu za siri zangu!
Hapa inabidi watenge na fidia kabsa
 
Shikamoo Mkuu. Nimekiangalia hicho ' Kidole ' cha Kati kilivyo kikubwa hapo pichani na sasa nawaza tu kuomba makazi ya muda katika mikoa ya jirani hasa wa Morogoro au Dodoma. Yaani ' dole ' lote hilo lipitishwe ' mtaroni ' kwa GENTAMYCINE kweli?
Kipimo cha tezi dume ni Ultrasound na damu tu.

Siku nitamuona Makonda kama ana akili timamu akitowa offer ya check up ya full medical examination ndio nitaanza kuamini kama kichwani ana akili timamu, lakini kwa sasa yeye na jiwe siamini kama ni wazima kichwani.
 
Kipimo cha tezi dume ni Ultrasound na damu tu.

Siku nitamuona Makonda kama ana akili timamu akitowa offer ya check up ya full medical examination ndio nitaanza kuamini kama kichwani ana akili timamu, lakini kwa sasa yeye na jiwe siamini kama ni wazima kichwani.

Kwahiyo hatutopigwa ' Ndole ' za Unyabeni / Unyeroni / Mtaroni Mkuu kama ambavyo inasemekana na nilivyodokezwa na Daktari mmoja mkubwa tu na maarufu hapa Jijini Dar es Salaam mchana huu wa leo?
 
Ukweli hata mimi nitawashangaaa wanaume wa Dar kama mtakubaliana na ushenzi huu,,, zoezi linafanyika nyumba kwa nyumba kwa hiyo mtalazimika kupekuliwa malinda mbele ya familia!!!! Mmmhhhh yetu macho.
 
Nimekumbuka ile kauli mbiu yao ya kupima tezi dume eti MWANAUME WA UKWELI HAOGOPI KIDOLE[emoji3]
 
Ngumu kumeza ,hapimw mtu hap muraa

Mkuu hebu waambie hawa yaani kabisa ' Upuuzi ' huu wa Upimaji uwafanyie Wanamume wa Mkoani Mara ( Musoma ) si utakuwa unajitafutia tu Kifo cha lazima na cha haraka? Mimi nawashauri haya mambo Saba ( 7 ) tajwa hapa wakawafanyie Watu wa hii Mikoa ifuatayo kwani wanaweza wakafanikiwa na hata kupata ushirikiano mkubwa tu:
  1. Kagera ( Bukoba ) hasa Wahaya
  2. Kigoma hasa Waha
  3. Singida hasa Wanyiramba na Wanyaturu
  4. Dodoma tena hasa kule Kondoa kwa Warangi
  5. Ruvuma ( Songea ) hasa kwa Wangoni
  6. Morogoro hasa kwa Waluguru na Wapogoro
  7. Pwani hasa kwa Wandengereko na Wakwere
  8. Dar es Salaam na hasa hasa Wazaramo
 
Mkuu kasema kipimo kitakachotumika ni kile cha damu na sio hiko kengine cha kutumia kidole.
 
Nimeshakuambia kwamba Madaktari wote wa Upimaji Tezi Dume waliopo Mkoa wa Makonda ni wa Kiume na utaratibu wa upimaji wao unasemekana ndiyo huo nilioutaja hapo juu Mkuu. Anza tu sasa kuliandaa hilo ' Nyabe ' lako lililotukuka kwa ajili ya hiyo ' Ndole Screening ' tafadhali.
Kama hakuna dr wa kike sitaki kupimwa
 
Mkuu kasema kipimo kitakachotumika ni kile cha damu na sio hiko kengine cha kutumia kidole.

Hiyo ni lugha ya kutushawishi / kututongoza tu Mkuu ila nasikia mambo yote huko ni ' Full Ndole Screening ' na nadhani pia umeweza hata kuviona Vidole vya Madaktari wetu wa Kiume vilivyo katika baadhi ya Picha zilizowekwa na Wadau katika ' Uzi ' huu huu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom