kengesamaki
Member
- Apr 16, 2018
- 19
- 5
Hapana mkuu. Daktari atahitaji kuongea na ww na kupata historia yako kwa ufupi na habari za afya yako kwa ujumla hususan kupata haja ndogo. Sasa ukiwa nusu kaputi mtaongeaje?Wakupge kwanza nusu kaputi
Nguvu sina lkn mbwa ninaowafuga watatumika kuwakingunge hao madaktari wa Makonda, sio kirahisi kihivyoNatoa angalizo langu mapema kwa nyie Madaktari ambao nasikia wengi wenu mnaoandaliwa kutufanyie hii ' Screening ' ya Tezi Dume ni Wanaume kuwa mwambieni kabisa huyo aliyewatuma kuwa ahakikishe kabisa ameshayaandaa ' Makaburi ' yenu ya ' Kuzikiwa ' kwani hatutowaacha salama.
- Daktari anakuambia uiname ukiwa mtupu.
- Anakuchungulia ' Unyabeni / Sehemu yako ya Haja Kubwa ' Kiumakini
- Anazishikashika ' Kende / Pumbu ' zako
- Anapapasapapasa ' Makalio ' yako
- Anachezea sehemu zako za Siri hasa ' Mkuyenge / Uume '
- Anakulazimisha Udindishe / Usimamishe Uume Kiukakamavu kabisa kama mnara wa Babeli
- Anakamua mara kwa mara Kende / Pumbu zako
Yaani kabisa ' Poti ' mzima kama Mimi Mwanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) nifanyiwe huu ' Upuuzi ' na hawa Madaktari halafu niwaache hivi hivi? Kama ni kweli upimaji wenu wa Tezi Dume ndiyo huwa hivyo nilivyoandika hapo juu nawakaribisheni mapema tu Kwangu ili niwapeni ' tiketi ' za haraka za kwenda Mbinguni kwa Mungu Kuume kwa Baba kupitia Kaburini.
Nawasilisha.
Kha!!? Nimechekaaaaa[emoji56] [emoji56]Kama unaumwa utapimwa tu. Angalizo. Tezi dume ni kansa na inaua. Mm nina ndugu yangu aliugua hii akagoma kupigwa dole, akafaView attachment 753654View attachment 753655View attachment 753656
Nikiwa mkubwa nataka kuwa daktari Wa tezi dume..Kama unaumwa utapimwa tu. Angalizo. Tezi dume ni kansa na inaua. Mm nina ndugu yangu aliugua hii akagoma kupigwa dole, akafaView attachment 753654View attachment 753655View attachment 753656
[emoji23] [emoji23] ukiweka mgomo baridi itafaa zaidi naona.Hapana mkuu. Daktari atahitaji kuongea na ww na kupata historia yako kwa ufupi na habari za afya yako kwa ujumla hususan kupata haja ndogo. Sasa ukiwa nusu kaputi mtaongeaje?
Halafu ujue hapo unapimwa tu kubaini kama kuna tatizo. Kama hakuna tatizo basi hapo ndo mwisho na utabaki na furaha kwamba u mzima wa Afya.
Hicho kitendo cha kuambiwa uiname tu kinatosha kumvunja mtu mbavu achilia mbali kupigwa dole la katiKwa kweli namna ya kupima tezi dume huwa inakatisha tamaa sana. Ingawa ndugu yangu GENTAMYCINE umeongezea chumvi kidogo, lakini kile kitendo cha kuingiziwa kidole cha kati ndani ya njia ya haja kubwa wakati wa kupimwa tezi dume kinafedhehesha sana tena sana.
Mimi sitakaa nije kupimwa tezi dume. Namwomba sana MUNGU BABA aniepushe na gonjwa hili lenye kufedhehesha.