Kama upimaji wa TEZI DUME ndiyo uko hivi naomba niandaliwe mapema tu Gereza langu kwani nitaua Mtu!

Kama upimaji wa TEZI DUME ndiyo uko hivi naomba niandaliwe mapema tu Gereza langu kwani nitaua Mtu!

Status
Not open for further replies.
Wakupge kwanza nusu kaputi
Hapana mkuu. Daktari atahitaji kuongea na ww na kupata historia yako kwa ufupi na habari za afya yako kwa ujumla hususan kupata haja ndogo. Sasa ukiwa nusu kaputi mtaongeaje?
Halafu ujue hapo unapimwa tu kubaini kama kuna tatizo. Kama hakuna tatizo basi hapo ndo mwisho na utabaki na furaha kwamba u mzima wa Afya.
 
  1. Daktari anakuambia uiname ukiwa mtupu.
  2. Anakuchungulia ' Unyabeni / Sehemu yako ya Haja Kubwa ' Kiumakini
  3. Anazishikashika ' Kende / Pumbu ' zako
  4. Anapapasapapasa ' Makalio ' yako
  5. Anachezea sehemu zako za Siri hasa ' Mkuyenge / Uume '
  6. Anakulazimisha Udindishe / Usimamishe Uume Kiukakamavu kabisa kama mnara wa Babeli
  7. Anakamua mara kwa mara Kende / Pumbu zako
Natoa angalizo langu mapema kwa nyie Madaktari ambao nasikia wengi wenu mnaoandaliwa kutufanyie hii ' Screening ' ya Tezi Dume ni Wanaume kuwa mwambieni kabisa huyo aliyewatuma kuwa ahakikishe kabisa ameshayaandaa ' Makaburi ' yenu ya ' Kuzikiwa ' kwani hatutowaacha salama.

Yaani kabisa ' Poti ' mzima kama Mimi Mwanaume wa Mkoani Mara ( Musoma ) nifanyiwe huu ' Upuuzi ' na hawa Madaktari halafu niwaache hivi hivi? Kama ni kweli upimaji wenu wa Tezi Dume ndiyo huwa hivyo nilivyoandika hapo juu nawakaribisheni mapema tu Kwangu ili niwapeni ' tiketi ' za haraka za kwenda Mbinguni kwa Mungu Kuume kwa Baba kupitia Kaburini.

Nawasilisha.
Nguvu sina lkn mbwa ninaowafuga watatumika kuwakingunge hao madaktari wa Makonda, sio kirahisi kihivyo
 
Huu upimaji wa Tezi dume utawafanya watu washawishike kuendelea na huo mchezo sasa kwa kutumia mikuyenge sahii na sio vidole. Yelewiiii Tuepushe na hii kwa waume zetu mm mwenyewe ntakua mstari wa mbele kumficha huzband aisee
 
hahahahahah..ni mtihani ila nafikiri badala kuingiza kidole wanaweza tafuta njia mbadala...
nashangaa mkuu mkoa anaona sawa tu! lazima tujiulize maswali kwa mtu anayeona sawa kwa kweli...
 
Kama unaumwa utapimwa tu. Angalizo. Tezi dume ni kansa na inaua. Mm nina ndugu yangu aliugua hii akagoma kupigwa dole, akafa
IMG-20180422-WA0049.jpg
View attachment 753655
images%20(2).jpg
 
Hivi tezi dume ndio tunaitaje Kwa lugha ya malikia?
 
Mm nishasem sku hio ntavaa kanga nijifanye mwanamke..siwez kuzalilishw
 
Hapana mkuu. Daktari atahitaji kuongea na ww na kupata historia yako kwa ufupi na habari za afya yako kwa ujumla hususan kupata haja ndogo. Sasa ukiwa nusu kaputi mtaongeaje?
Halafu ujue hapo unapimwa tu kubaini kama kuna tatizo. Kama hakuna tatizo basi hapo ndo mwisho na utabaki na furaha kwamba u mzima wa Afya.
[emoji23] [emoji23] ukiweka mgomo baridi itafaa zaidi naona.
 
Kwa kweli namna ya kupima tezi dume huwa inakatisha tamaa sana. Ingawa ndugu yangu GENTAMYCINE umeongezea chumvi kidogo, lakini kile kitendo cha kuingiziwa kidole cha kati ndani ya njia ya haja kubwa wakati wa kupimwa tezi dume kinafedhehesha sana tena sana.

Mimi sitakaa nije kupimwa tezi dume. Namwomba sana MUNGU BABA aniepushe na gonjwa hili lenye kufedhehesha.
Hicho kitendo cha kuambiwa uiname tu kinatosha kumvunja mtu mbavu achilia mbali kupigwa dole la kati
 
Hivi hamna njia nyingine ya kupima?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kama ndiyo hivi kweli hii ni kutaka kufanyana tuwe makhanithi! Haikubaliki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom