Kama ushawahi kuachwa kihivi, njoo utupe mkasa

Ndo dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niliwahi kuachwa kwa sms kama wewe. Lakini mimi huwa naacha kimya kimya
no sms
No calls
 
Endelea kwanza kuisoma namba
 
Kidume nlitumiwa zawadi ikaambatanishwa na barua mbili moja ya kuachwa nyingine ya kushukuliwa kwa penz kidume nlianza na zwadi nkatafuna nkachukua barua ya kupongezwa kwa penz asee hadi mzee alisimama kuja kufungua barua ya pili nakumbana na neno sina namna inabid nkuache na nimeamua hvyo usiniulize zaid maisha mema. Asubuh nlijukuta hospital naambiwa nilidondoka ghafla sabab ya presha na vidonda vya tumbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Aliniacha kweli, na tangu aniache sina Bahati na watoto wazuri, nikaamua kua busy n maisha yangu.
Well; It was like " Magoe am sorry but we need to break" nikamuuliza "break or breakup" akanambia "breakup" dah! Sikuamini, msosi ukaw haupandi maana I loved her much, ila Nd hivo tukaachana.
Sijui alini-block kabisa whatsApp hahaan, Ila maisha lazima yaendelee.
 
Mzee huyo hakupendi sana kama unavyodai ila anapenda pesa zako ndiyo maana ulipomwambia akakublock
 
anacheza na muuza magari
akikohoa block 2
akigeuka analo block lingine utafikiri hamjaachana
 
Kwakweli Mimi hata nikiachwa huwa sijui sababu sidhani kama kuna lady amewahi kuingia akilini mwangu. Kuna vitu huwa navipa nafasi zaidi ya mahusiano na yeyote aliyewawahi kupita hapa lazima ana cha kusimulia.
 
Ukiona demu anakuomba Sana hela ujue hakupendi anakutumia kimaslahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa ni jinsi unavyoi-tune akili yako kuchukulia mambo, ie stress management skills
Umeongea kitu kidogo ila cha msingi sana.Ingawa sio rahis kuki implement ila ukiweza aisee utaepuka mengi sanaa.
Kui tune mind yako ni kitu muhim sana unapokutana na situations tofauti tofauti.

Hii kitu inanisaidia sana kupambana na scenario nying sana za sintofaham nazokutana nazo kibaruan mara kwa mara dhib ya mabos zangu.Inanibeba sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…