King 999
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 5,872
- 8,374
eti ngombe na pembe zake ahahahaha [emoji23][emoji23][emoji23]Mleta uzi badili kichwa cha uzi. Iwe ULISHAWAHI KUACHWA KIMASIHARA?.
Mimi hata sitaki kabisa kurudia kukumbuka, ila wanaume huwa tunajikaza tu ilakini moyoni maumivu yake hayaelezeki. Labda itokee kwamba huyo aliyekuacha hakuwa 1st wala 2nd priority kwako. Kuna mtu mnakutana na mnaendana kwa kila kitu, ila inatokea ng'ombe fulani na pembe zake, inayachona mapenzi yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app