Kama ushawahi kuachwa kihivi, njoo utupe mkasa

Kama ushawahi kuachwa kihivi, njoo utupe mkasa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tulikuwa hata hatujawahi kuonana. Akanitumia text "cant do this no more"

Nikamjibu tu "its okey".

Nikampotezea, akaja kunitafuta tena. Ila ndio basi tena.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie bana! Ko ulikuwa unadate na kivuli!
 
Saa 12 asubuhi nilipata ujumbe;
"Samahani kwa kukupotezea muda wako, najua inauma ila ndivyo mapenzi yalivyo, naomba usiwe unanipigia au kunitumia msg utanisababishia matatizo kwa mpenzi wangu"
Nilimjibu "Mbona sikuelewi"
akanijibu "Utaelewa tu"
Mwaka na sehemu ukapita akaachika kule akarudi kwangu, nilimpokea vizuri tukaendelea na hakujua ni wapi naenda kupata pointi tatu, nilimsubiri maumivu yake yalivyoisha na nikasubiri akolee.
Siku moja nilimuita Lodge mapemaaaa, kuanzia saa5 asubuhi mpaka saa2 usiku, siku hiyo nilikula mzigo mpaka alishangaa akaniuliza "vipi mbona leo hivi unanikomoa" nikamjibu "hapana nilikumisi sana".
Baada ya show kuisha saa2 usiku nikamwambia "Samahani kwa kukupotezea muda wako, najua inauma ila ndivyo mapenzi yalivyo, usiwe unanipigia simu au kunitumia msg, utanisababishia matatizo kwa mpenzi wangu"
Sikusubiri kusikia kilio chake au kuona chozi lake nikamuacha humo Lodge, sikupokea simu wala kujibu msg zake mpaka kesho.
Moyo wangu ulilipa kisasi cha Kibuti nikapoa
I'm proud of you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie bana! Ko ulikuwa unadate na kivuli!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie unazijua zile poteza time eeeh?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie unazijua zile poteza time eeeh?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijawahi kuzijua auntie jamani!
 
Sikumbuki kuachwa au kuacha najiandaa kabla sijaingia

Siku za mwanzo huwa ngumu...baada ya week 1 kila kitu huwa sawa

Mara nyingi nikiacha nakuwa kimya sijibu sms wala sipokei simu, pia nakuwa kimya sitaki kumpa credit haswa nikiwa nimemla

Sikubali kuachwa kama sijamla ntabembeleza ata kama kakosea yeye lengo nimle kwanza

Nishaachwa karibia mara 3 ila niliomba msamaha kama mtoto lengo nimle kwanza

Nilimla, nikawa nasubiri neno kuniacha, alijichanganya akasema tuachane nikamwambia ndo nilichokuwa nasubiri akuona text wala simu wala kuomba msamaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom