Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dah mimi wangu,alitokea tu akanambia jerry mimi na wewe basi,kuna business nlikuwa nafanya nkamwambia sababu?hakujibu nkazama tu tgo pesa nkampa kama laki 8,maana alikuwa anauza tuviatu na mikoba baada ya hapo sikumtafuta mpka leo,baada ya miaka 5 majuzi ndo anantext whatsapp akachezea tu block,amepiga nkaongea nae then akala block ya 2, inshort mwanamke akishanambia tu mimi na ww basi huwaga sibadili maamuzi na nimiachaga mtu kurudia siwezagi kabisaa
Sent using Jamii Forums mobile app
hio haiapply kwa mademu wote wanaokuacha
kuna madem hawakuulizi chochote hata wakikukuta unakula nyoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi wanaume huwa tunaumia kichizi, mie nilikimbia groups za WhatsApp...asee!!
Sijui alijuaje kama ndo naandaa chai ninywe
Mm siku ya tukio niliamka tukaongea vizur maana tulikuwa na appointment nile mzgo sas nimetenga chai ninywe naskia sms kusoma
;sic mim sijui kama unanipenda au laah ila naomba tuachane maana kma ungekuwa unanipenda usingenanbia tusex ;
Nilichofanya ni kugonga chai japo haikuwa inapanda mpk leo sijui hta yuko wap yule mbuz pori
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo mtoto alishakuwepo wakati mnaachana?Kwangu ni mazito sana ila nimeachwa sana,kuna moja iliniuma nkasema ntamjibu mapigo kwa aina yake,leo hii ni mzazi mwenzangu nalea mtoto tu sitaki mazoea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kwel huwa nasoma alama za nyakati kuna drama zilikua zikianza tu naanza kujitoa mashindanon maana mm sio muumin wa drama at all.
Akija kushtuka yule aliapangwa kuachwa anakua kashajiacha muda na wala hupati maumivu.
Unabakia ule urafiki wa kama inakuja af inakataa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha et injili ya Yesu, Ila ndio hvyo inauma maumivu yake sio kama yale ya kuambiwa ghafla hapa lazma uimbe mapambioSiku hizi ndo tunavyofanya. Unajiengua taaaratibu mkishtuka kila mtu ameshasonga mbele kama injili ya Yesu.
Japo nayo inaumaga ila ikishaisha ndo basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha et injili ya Yesu, Ila ndio hvyo inauma maumivu yake sio kama yale ya kuambiwa ghafla hapa lazma uimbe mapambio
Ila hii nyengne mdogo mdogo mbio unaziacha mkikutana mnaulizana tu hivi upo za masiku "IMEISHA HYOOOO"