Boveta
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,174
- 3,804
Asante, ilishapita miaka kadhaa huko...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante, ilishapita miaka kadhaa huko...
Nakumbuka Ilikuwa Mwaka Jana Mwezi Wa 6 Hivi...Nilikuwa Nimelala Zangu Mida Ya Mchana Mara Text Ikaingia...
"Samahani Sana Kwa Message Hii,Ila Itabidi Kulizika Hili Penzi,Najua Napoteza MTU Muhimu Sana But Ndo Hivyo Inabidi Tuachane Tu Kwani Siitaji Kuwa Na Mpenzi Tena Mpaka Hapo Baadae....!!
Kidume Nilivyomaliza Kuisoma Usingizi Ukaja Tena Nikalala....sikukumbuka Tena kama Nimeachwa!!!
JE, Ushawahi Kuachwa Kwa Message Wewe....???😂
Anza kujipooza kwa wahaya then utakua okayHongera yako wewe uliweza kumove on coz haukuwa attached or deep inlove na huyo manzi...mimi niachwa na manzi ambaye nilikuwa nimemweka rohoni..moyoni ..kwenye mapfu..kwenye ubongo..kwenye kila kona ya mwili wangu..alivyoniambia its over nilipambana lakni wapi..kumbe mwenzangu alikuwa amenisave kwenye simu tu..so kunifuta ilikuwa siyo ishu...mpaka leo nipo nashindwa kwa na mahusiano nipo nipo tu..cna mpango wa kwa wala nn??
Jamani mapenzi mabaya nyie...usiombe ukutwe na hili jaribio..
😂😂😂😂😂😂...NO WAY
Ambacho kinachokutesa Ni kumbukumbu tu,chakufanya ukihudhuria kwa wiki mbil utaona mabadiliko
Mwenyewe napambana na hali yangu kama weweHongera yako wewe uliweza kumove on coz haukuwa attached or deep inlove na huyo manzi...mimi niachwa na manzi ambaye nilikuwa nimemweka rohoni..moyoni ..kwenye mapfu..kwenye ubongo..kwenye kila kona ya mwili wangu..alivyoniambia its over nilipambana lakni wapi..kumbe mwenzangu alikuwa amenisave kwenye simu tu..so kunifuta ilikuwa siyo ishu...mpaka leo nipo nashindwa kwa na mahusiano nipo nipo tu..cna mpango wa kwa wala nn??
Jamani mapenzi mabaya nyie...usiombe ukutwe na hili jaribio..
True mkuu...Hongera yako wewe uliweza kumove on coz haukuwa attached or deep inlove na huyo manzi...mimi niachwa na manzi ambaye nilikuwa nimemweka rohoni..moyoni ..kwenye mapfu..kwenye ubongo..kwenye kila kona ya mwili wangu..alivyoniambia its over nilipambana lakni wapi..kumbe mwenzangu alikuwa amenisave kwenye simu tu..so kunifuta ilikuwa siyo ishu...mpaka leo nipo nashindwa kwa na mahusiano nipo nipo tu..cna mpango wa kwa wala nn??
Jamani mapenzi mabaya nyie...usiombe ukutwe na hili jaribio..
True mkuu...
Kuna mtu ni kama anakushika nyota yaani unakuwa dhaifu kwake kwa kila kitu, mbaya zaidi anakuwa anajua wapi pa kuingilia na akiingia huchomoi kirahisi. Mtu kama huyu akikuacha huwa ni ngumu kudeal nayo ila wengine kawaida tu
Pole mkuu...karibu chimbo la wakutemwa...
Na alijua ndo maana alikutesa...Bora wewe umeliona na kulikubali...nilimpenda yule manzi..yani mpaka nikihema nahisi kila punzi inatoka na jina lake...cjawah kupenda hivyo...
Na alijua ndo maana alikutesa...
Tunapambana tu hamna namnaPole mkuu...karibu chimbo la wakutemwa...
Mbona wajichanganya!!!
Mara hukumbuki kuacha wala kuachwa mara umeacha na kuachwa[emoji1745][emoji1745][emoji1745]
Hapo umemaliza mkopo bank. Ni muda sasa wa wewe kula na kunywa vizur, em shushia safari moja baridiiiiMimi imenitokea jana usiku, huyu dem ananipenda sana, tatizo ana maisha flan classic halafu yuko mjini, anachotaka nimgharamikie mimi maisha hake, mfano kodi ya nyumba nilipe mimi, akiugua nimtibishe, chakula nimnunulie mimi pamoja na ndugu zake anaoishi nao, nami kimaisha sijakaa fresh bado, ndo najipanga, hata huo uwezo wa kumtunza ningeweza kukomaa mno kumtunza but sitakuwa na personal development, sasa jana nikamwambia mbinu anazotumia kuniomba hela ni za kisanii, akamind kaniblock namba zote, ofcourse nampenda zaidi sana kwakuwa ananipenda, ila vizinga vyake sio vya nchi hii, sasa hivi naumia nikikumbuka nice moments we shared, ila nina unafuu kukwepa gharama zingezokuwa mbele yangu,, Ushauri wenu naomba, juu ya hili
Sent using Jamii Forums mobile app