Kama utaenda Kununua Dada poa"Malaya" basi zingatia haya

Hapo mwanzo umeongea point ya muhimu sana, sijui kama wamekuelewa.
 
Mtoa mada usitishe watu,acha watu wale rahaa...madada poa wanasave sana uchumi aisee..maana kwa 10k tu unakula malaya mpaka roho inasuuzika[emoji39]...halafu kwa walioa wanaelewa umuhimu wa hawa watu binafsi sina mchepuko coz huwa siwezi kujidhibiti nikiwa kwenye mahusiaono na mtu na siwezagi kufuta msg huwa najisahau unakuta nashikwa mapema tu[emoji1787]..ila ukienda kwa dada poa unapiga show fresh kabsa,unaoga huko huko unarudi mwepesi[emoji39]
 
Vyovyote vile utakavyoona Ni sahii kwako kanichukulia mimi napokea mikono miwili[emoji120]

Sema unachopaswa kuchukulia kwa tuyajadili mezani, Dont take it too personal.

Hapa tujadili hoja, Mimi nnavojua mtoa mada hatuna ugovi wowote Kama unavyodhani.

For myself,No offense intended.

Niko ktk good terms na mtoa mada,
Kama una kinyongo chako pembeni labda u jaribu kurelax mkuu[emoji4][emoji120]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu umenifurahisha ulivyomalizia
Ukimwi wengi wanapata kutoka kwa wale wanaowaamini sana.

Hasa Hawa wanawake wakuokota okota mitaani, hawa wanaolalwa ovyo ovyo kukumbuka kinga.

Makahaba wengi wanauogopa ukimwi balaa, hawamuamini mtu na lazima ukumbushwe kinga.

Ndo maana hata usipokua nayo au maduka wamefunga, atakupatia.

Na wengi wao hutembea nazo kabisa kwny mikoba yao na kukuuzia ww mwnyw.

Sasa labda uwe mgeni na uende nakiraruraru chako ukaupate mwnyw na sio usingizini makahaba

Napingana na jamaa[emoji4]
 
mkuu[emoji119][emoji1787]
 
Ebu hapa nielekeze vizuri halooo maana ilishawahi nikuta hiyo nikaibiwa simu pesa mpaka begi langu.

Chuchu msumari kaa mbali na hii kitu au kabidhi KILA kitu kaunta yaani pesa,simu ,nk.
Wanapaka madawa ya kulevya kwenye chuchu so tamaa yako ya kukumbuka kunyonya ukijiloga tu umelewa usingizi unasachiwa KILA kitu anatokomea ukija zinduka zamani ashafika kwake mmekutana njiani au bar utamuonea wapi.
 
sana mkuu
 
Duh
 
Basi nitajitahidi kila mwaka walau nikutane na makahaba watatu ili niache mikosi yangu na mabalaa
 
Kiongozi hujamuelewa jamaa! Yeye kaegemea kwenye mambo ya rohoni na sio ya mwilini..huwezi kumuelewa ukitumia ufahamu wako wa kawaida!
Namshukuru Mungu Nilishaacha hizo mambo miaka Mingi ilopita
 
Kuna haja gani ya tahadhari kati ya makahaba? Wafananao huenda pamoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…