Mkuu wa shule wa sasa ni mwanamke na ameingia hofu kubwa anajali sana usalama wake kuliko shule anayoiongoza
Tangu msaidizi atimuliwe kila mwalimu anaogopa kasoro mwalimu paulo
Wanaompa nguvu mkuu wa shule hawajali lolote maadam mambo yao yako poa
Mwalimu Paulo anaonekana kujiamini kuliko walimu wote
Wanaompa nguvu mwalimu mkuu wakiamua wanaweza kumuweka mwalimu paulo kuwa mwalimu mkuu awasaidie mambo yao
Mamlaka ya kamati za shule hakuna kila mwalimu anaogopa kuuwawa
Wanafunzi hali zao mbaya walimu hawafundishi na mshahara wanakula
Mgomo wa wanafunzi uliuwa wengi. Idadi kubwa ikiwa wanafunzi wanaharakati na walimu wa kujitolea
Yule mwalimu wa kujitolea alieko jela angekuwa uraiani sijui hali ingekuwa vipi maana hamuogopi mtu mwalimu paulo angekiona chamoto
Walimu wa kujitolea wamegawanyika sana wengine wanaridhika na kununuliwa kirahisi
kwa njia alizopita mwalimu paulo na kujiamini kwake hakuna wa kumzuia akiamua kuwa mwalimu mkuu
KUNA UWEZEKANO MWALIMU PAULO KUJA KUWA MWALIMU MKUU