Kama utani vile mwalimu Paulo anaweza kuja kuwa mkuu wa shule

Mwalimu paulo As long as analamba kila matapishi ya Second Master wa " wa Chalize, anaweza.

Lakini Mwalimu wa chalinze baba yake anaangalia mwalimu mtoto wake apokee kijiti. Mwalimu Paulo atapenye hapo kweli?

Mtoto wa mwalimu mkuu wa 2005 nae anatafutiwa. Sasa kwakuwa hatujui ya ndani napata shida na kujiamini kwa mwalimu paulo hashindwi kuwaharibia wenzie
 
Makonda anaweza kuwa rais wa nchi hii hasa kwenye nchi ambayo uongozi unapatikana nje ya box la kura. Someni jinsi Hitler na Mussolini walivyongia madarakani, na hizi nyendo za Makonda za sasa, na nini kilitokea.

Makonda atakapokuwa rais atafanya mauaji ya kutisha ya wananchi, ila na yeye atauwawa na hapo ndio nchi hii itapata mabadiliko ya kweli ambayo dalili zake zilianza baada ya uchaguzi wa 2010. Kilichotokea 29 October ilikuwa ni mimba tu ya ukatili, mtoto halisi halisi atakayezaliwa ni Makonda kuwa rais, lakini mauaji yatayotokea hayajawahi kutokea toka nchi hii ianze. Labda ipatikane katiba mpya, jambo ambalo naliona wazi haiwezekani kwa ccm hii. Tunzeni hii post.
 
Paulo akiachwa Huwa anakiwasha Hadi kwa kupanda mikokoteni!

Ni spinning plan nzuri sana kwa mfumo,nakumbuka kipindi kile akiwa mwenezi kijani kibichi kilitamba sana!!

Mwalimu paulo akiachwa anaweza toa hata maagizo kwa mkuu wake wa shule. Hata haogop na hao viongozi wa nje ya shule yake siku atakuja kuwapa majukumu.

Kwa kifupi mwalimu paulo ni kazi kazi popote
 
Makonda anaweza kuwa rais wa nchi hii hasa kwenye nchi ambayo uongozi unapatikana nje ya box la kura. Someni jinsi Hitler na Mussolini walivyongia madarakani, na hizi nyendo za Makonda za sasa, na nini kilitokea.

Makonda atakapokuwa rais atafanya mauaji ya kutisha ya wananchi, ila na yeye atauwawa na hapo ndio nchi hii itapata mabadiliko ya kweli ambayo dalili zake zilianza baada ya uchaguzi wa 2010. Kilichotokea 29 October ilikuwa ni mimba tu ya ukatili, mtoto halisi halisi atakayezaliwa ni Makonda kuwa rais, lakini mauaji yatayotokea hayajawahi kutokea toka nchi hii ianze. Labda ipatikane katiba mpya, jambo ambalo naliona wazi haiwezekani kwa ccm hii. Tunzeni hii post.
Huu wako ni unabii uliouona au ni speculative analysis!!?
 
Mkuu wa shule wa sasa ni mwanamke na ameingia hofu kubwa anajali sana usalama wake kuliko shule anayoiongoza

Tangu msaidizi atimuliwe kila mwalimu anaogopa kasoro mwalimu paulo

Wanaompa nguvu mkuu wa shule hawajali lolote maadam mambo yao yako poa

Mwalimu Paulo anaonekana kujiamini kuliko walimu wote

Wanaompa nguvu mwalimu mkuu wakiamua wanaweza kumuweka mwalimu paulo kuwa mwalimu mkuu awasaidie mambo yao

Mamlaka ya kamati za shule hakuna kila mwalimu anaogopa kuuwawa

Wanafunzi hali zao mbaya walimu hawafundishi na mshahara wanakula

Mgomo wa wanafunzi uliuwa wengi. Idadi kubwa ikiwa wanafunzi wanaharakati na walimu wa kujitolea

Yule mwalimu wa kujitolea alieko jela angekuwa uraiani sijui hali ingekuwa vipi maana hamuogopi mtu mwalimu paulo angekiona chamoto

Walimu wa kujitolea wamegawanyika sana wengine wanaridhika na kununuliwa kirahisi

kwa njia alizopita mwalimu paulo na kujiamini kwake hakuna wa kumzuia akiamua kuwa mwalimu mkuu

KUNA UWEZEKANO MWALIMU PAULO KUJA KUWA MWALIMU MKUU
💯 agreed
 
Huu wako ni unabii uliouona au ni speculative analysis!!?
Nimefuatilia mwenendo wa Makonda, na ukatili dhidi ya walio kinyume na watawala. Nikafananisha na historia ya kina Hitler na Musollini. Sibahatishi katika maono yangu. Kabla Magufuli hajawa rais, nilisema zaidi ya mara moja kuwa atakuwa mchapa kazi, lakini atakayeharibu utawala wa sheria na kuharibu demokrasia. Na ndicho kilichotokea. Hata mauaji ya mwaka jana, ni matunda ya mti wa uovu alioupanda Magufuli kwenye nchi hii.
 
Makonda anaweza kuwa rais wa nchi hii hasa kwenye nchi ambayo uongozi unapatikana nje ya box la kura. Someni jinsi Hitler na Mussolini walivyongia madarakani, na hizi nyendo za Makonda za sasa, na nini kilitokea.

Makonda atakapokuwa rais atafanya mauaji ya kutisha ya wananchi, ila na yeye atauwawa na hapo ndio nchi hii itapata mabadiliko ya kweli ambayo dalili zake zilianza baada ya uchaguzi wa 2010. Kilichotokea 29 October ilikuwa ni mimba tu ya ukatili, mtoto halisi halisi atakayezaliwa ni Makonda kuwa rais, lakini mauaji yatayotokea hayajawahi kutokea toka nchi hii ianze. Labda ipatikane katiba mpya, jambo ambalo naliona wazi haiwezekani kwa ccm hii. Tunzeni hii post.

Kwa hali ya shule ilivo ni bora walimu wa kujitolea wapewe ajira za kudumu
 
Mlezi wa shule na familia yake wanafuga chatu. Halafu walimetelekeza, wako bize na mishe zao. Siku zao zinahesabika.

Hakuna aliye salama.

Kikubwa mashamba ya mlezi wa shule yanapata wanafunzg wa kutosha wa kupalilia na kuvuna.

Mwalimu mkuu wa sasa anawatumikisha sana wanafunzi bila malipo
 
Back
Top Bottom