- Thread starter
- #61
Wanafunzi watapata tabu sana. Watahongwa vishet na bagia kama kama kawaidaKumpata mgombea Urais CCM 2030 itakuwa vurumai tupu
Wanafunzi watapata tabu sana. Watahongwa vishet na bagia kama kama kawaidaKumpata mgombea Urais CCM 2030 itakuwa vurumai tupu
Nanauka Wizara yake ni ya tofauti sana na kiwizara cha Makonda.Usilolijua
Baada ya bunge kuisha, au siku chache kabla ya bunge, mh rais anayo mandate ya kukaimisha mawaziri kukagua miradi, kufungua miradi, kutoa matamko na maagizo ya serikali hata kama miradi hyo haihusu wizara yake...
Mfano, nannauka kafungua vituo vya afya, mahosptali kibao ili hali si waziri wa tamisemi, wala afya wala elimu.
Kinachowasumbua ni kuwa paulo amewakaa magegoni.
Ndoto kwa shule yenye sheria nzuri. Shule hii kuna wanafunzi wanawatukana walimu wa kujitolea na hawapewi adhabu yeyoteNdoto kama ndoto zengine
Ukimpuuza mwalimu paulo labda unakuwa humjui vizuriMm bnafsi mwalimu Paul simuelewi,
Na si wa kupuuuzwa .swala la headmaster never hatabiliki hata kamati ya shule inamhofia,asilimia kubwa hapendi ujinga hasa mwanafunzii ukitoroka hajafanya homework? Ni hatari
Alafu hii shule kuna majengo mawili yalijengwa na wamishionari yanadumu sana lakini majengo mapya ya mabilioni ya pesa yanachakaa kirahisiNow mjikite kuchunguza mambo ambayo uongozi wa shule unayafanya, yanayoweza kuiumiza shule zaidi. Hii n propaganda ili wanafunzi wawe busy kujadili suala la mwalimu Paulo! Mtakuja kushitukia uongozi wa shule umeshapitisha sheria ya kuhesabu namba ni saa kumi na moja alfajili badala ya saa moja asubuhi. Wanachezaga kete kali sana wakiwa na jambo lao!
Hawana budi kuuana.Kumpata mgombea Urais CCM 2030 itakuwa vurumai tupu
Raisi Samia (PhD) ni mzima wa afya na anachapa kazi.
Haya majengo ya sasa hayana misingi imara , headmaster wa 2005 majengo yake yapo imara,Kila jengo Kuna mlinzi na linasafshwa Kila siku .majengo yake hayachakai Leo Wala keshoAlafu hii shule kuna majengo mawili yalijengwa na wamishionari yanadumu sana lakini majengo mapya ya mabilioni ya pesa yanachakaa kirahisi
Inawezekana kabisa kama wakimuacha aendelee hiviMwalimu wa Michezo kuwa mwalimu Mkuu ,
Huyu huyu NGEMEMkuu wa shule wa sasa ni mwanamke na ameingia hofu kubwa anajali sana usalama wake kuliko shule anayoiongoza
Tangu msaidizi atimuliwe kila mwalimu anaogopa kasoro mwalimu paulo
Wanaompa nguvu mkuu wa shule hawajali lolote maadam mambo yao yako poa
Mwalimu Paulo anaonekana kujiamini kuliko walimu wote
Wanaompa nguvu mwalimu mkuu wakiamua wanaweza kumuweka mwalimu paulo kuwa mwalimu mkuu awasaidie mambo yao
Mamlaka ya kamati za shule hakuna kila mwalimu anaogopa kuuwawa
Wanafunzi hali zao mbaya walimu hawafundishi na mshahara wanakula
Mgomo wa wanafunzi uliuwa wengi. Idadi kubwa ikiwa wanafunzi wanaharakati na walimu wa kujitolea
Yule mwalimu wa kujitolea alieko jela angekuwa uraiani sijui hali ingekuwa vipi maana hamuogopi mtu mwalimu paulo angekiona chamoto
Walimu wa kujitolea wamegawanyika sana wengine wanaridhika na kununuliwa kirahisi
kwa njia alizopita mwalimu paulo na kujiamini kwake hakuna wa kumzuia akiamua kuwa mwalimu mkuu
KUNA UWEZEKANO MWALIMU PAULO KUJA KUWA MWALIMU MKUU
Uliiandika kwa kiingereza kigumu sana kile,ukaona wachangiaji hawaelewi,umekuja na hii id walau mod waiiachie ili tuichangie Kwa simple language au sio!!?
Mwalimu Paulo akiwa Headmaster atatembea na bakora atachapa walimu Hadi wanafunzi ,hadharaniInawezekana kabisa kama wakimuacha aendelee hivi
Mkuu wa shule hajali lolote kikubwa yeye yuko salamaDo not outshine your boss
Mkuu wa shule wa 2015 kifo chake kina utata hadi leo walimu wastaafu wengi wapo kimya wanaogopaJuzi nilikuwa maeneo ya shule ,nilipeleka ada mwanafunzii ,Kuna story nikapata..
Headmaster wa 2005 anaapa hata fanya kosa kumueka headmaster asieleweka , headmaster wa 2015 alimpitisha katka nyakati ngumu .na nilihakikishiwa mipango ilivyo ,kwamba stakubary Yale mateso yanipate Tena.
Haya majengo ya sasa hayana misingi imara , headmaster wa 2005 majengo yake yapo imara,Kila jengo Kuna mlinzi na linasafshwa Kila siku .majengo yake hayachakai Leo Wala kesho
Acha wapalulane tu