Kama utani vile mwalimu Paulo anaweza kuja kuwa mkuu wa shule

Kama utani vile mwalimu Paulo anaweza kuja kuwa mkuu wa shule

Mwalimu Paulo hafuati "syllabus" wala miongozo mingine yenye kuzingatia maadili ya ualimu. Kwa kuwa analichukia somo la hesabu basi yeye anaingilia masomo na vipindi vya wenzake na badala yake anafundisha kwa msisitizo somo la uraia ijapokuwa nalo linamshinda.
 
Na hakuna wa kumzuia mwalimu
 
Wacha huyo Mwl Paulo awe mkuu wa shule tuone division 0 na 4 za kumwaga. Halafu si nasikia huyo Mwl Paulo Hana cheti halali Cha form 4, je ni Kweli? Kama ni kweli inawezekana vipi apate ukuu wa shule?
Kwa level aliyofikia cheti hakina maana tena!
 
Kwa sasa kamati za shule na wanawafunzi wote wanaumia na headmaster wa sasa hata wenzake wanaompa chakula hawapndi na hawamtaki ,yupo yeye kama yeye ingawa watu wanapga makofi
.

Ipo hv headmaster anaekuja 2030 atakuwa Bora zaidi ya 2015. Amin nawambia

Mipango inaenda vzr

All in all tumtangulize Mungu
Je, atakuta kitabu kimebadilishwa au ndiyo yale yale?
 
Hao "wenyewe" wamemuachaje hadi kafika hapo alipofika?

Headmaster 2015 na mwalimu Paul Watakuwa na ukalibu inawezekana

Na ndyoo mwalimu wa nidha wa saa 29 October alishauliwa vya kutosha ,chukua shule utawapa wakikaa sawa ,alikataa kata kata .kwa hyo Kuna chemistry , headmaster 2015+mwalimu Paul + Mwalimu wa nidhamu wa sasa (1)
 
Back
Top Bottom