Assadillah
Senior Member
- Mar 18, 2024
- 122
- 205
Nje ya mada. Kuna mwalimu mmoja wa kike mama hivi, ana jina kama la yule mchungaji wa kawe. Huwa akiingia darasani mimi huwa nafurahi sana.
Nje ya mada. Kuna mwalimu mmoja wa kike mama hivi, ana jina kama la yule mchungaji wa kawe. Huwa akiingia darasani mimi huwa nafurahi sana.
Huyo aliyewahi kuchukua bakora na kumtishia mzazi hapo shuleni ndio awe mwl mkuu!!!!
Mwl Paulo lolote limkute....
Mbona kwenye michezo alikataa jezi za umitashumta?Mkuu wa shule wa sasa ni mwanamke na ameingia hofu kubwa anajali sana usalama wake kuliko shule anayoiongoza
Tangu msaidizi atimuliwe kila mwalimu anaogopa kasoro mwalimu paulo
Wanaompa nguvu mkuu wa shule hawajali lolote maadam mambo yao yako poa
Mwalimu Paulo anaonekana kujiamini kuliko walimu wote
Wanaompa nguvu mwalimu mkuu wakiamua wanaweza kumuweka mwalimu paulo kuwa mwalimu mkuu awasaidie mambo yao
Mamlaka ya kamati za shule hakuna kila mwalimu anaogopa kuuwawa
Wanafunzi hali zao mbaya walimu hawafundishi na mshahara wanakula
Mgomo wa wanafunzi uliuwa wengi. Idadi kubwa ikiwa wanafunzi wanaharakati na walimu wa kujitolea
Yule mwalimu wa kujitolea alieko jela angekuwa uraiani sijui hali ingekuwa vipi maana hamuogopi mtu mwalimu paulo angekiona chamoto
Walimu wa kujitolea wamegawanyika sana wengine wanaridhika na kununuliwa kirahisi
kwa njia alizopita mwalimu paulo na kujiamini kwake hakuna wa kumzuia akiamua kuwa mwalimu mkuu
KUNA UWEZEKANO MWALIMU PAULO KUJA KUWA MWALIMU MKUU
Mwl wa jela Yule hooligan Tu Doja tule
wanasema yeye ni Daudi babu yake YesuMwalimu paulo wa michezo anajiamini sana mkuu
Mbona kwenye michezo alikataa jezi za umitashumta?
Hajawahi kupinga hili hadharaniwanasema yeye ni Daudi babu yake Yesu
🤣🤣🤣🤣🤣Mbona kwenye michezo alikataa jezi za umitashumta?
🤣🤣🤣🤣🤣Umitashumta unakaribia kuanza yeye ndo shule mwenyeji anagomea jezi badala ya kuwaza kupokea wagen
HahahaYule akipewa ajira ya kudumu hata kama ya uwalimu wa kawaida shule itakuwa noma
Hakuna cha kesho wala nini. Vilaza awamu ya mwisho ndiyo hii. Wakati ujao tunahitaji kuongozwa na watu wenye akili na IQ kubwa. Full stop.Tunamzungumzia Mwali paulo mkuu siyo bashite
Wote hatujui kesho
Hakuna cha kesho wala nini. Vilaza awamu ya mwisho ndiyo hii. Wakati ujao tunahitaji kuongozwa na watu wenye akili na IQ kubwa. Full stop.
Alipangalo Mungu, binadamu kulipangua hawezi kabisa ! Ngumu.
Wanafunzi wengi tunampenda yule mwalimu wa kujitolea.Mkuu wa shule wa sasa ni mwanamke na ameingia hofu kubwa anajali sana usalama wake kuliko shule anayoiongoza