Kama utani vile mwalimu Paulo anaweza kuja kuwa mkuu wa shule

Kama utani vile mwalimu Paulo anaweza kuja kuwa mkuu wa shule

Sisi darasa la vidudu na la kwanza tulitamani yule Mwalimu Mkuu wa ile shule ndogo aje kuwa Mwalimu mkuu wa shule yetu hii kubwa. Sema watamkatalia kwa sababu watasema ni Ostadh. Watataka Mwalimu mkuu asie Ostadh kwa sababu shule inafuga nguruwe.
 
Wafadhili wa shule hawamtaki yule labda aje apewe shule 2040 japo nayo ni ngumu kutokana na haiba yake sidhani kama atakubali kutumikia wafadhili
 
Kuna jambo tunaliona ,inakuaje waziri WA Sanaa na michezo yupo vocal kukagua miradi ya serikali kuliko hata waziri mkuu!!?
Deo nae anapasha si haba!

Ni mengi yanaonekana kwa ground!

Lakini kwenye mfumo huwezi jua nani anaitumikia jamuhuri na nani yupo loyal kwa mtu pekee!

"Tuheshimiane huwezi jua ya kesho ya mtu"aliwahi sikika akiwa katibu mwenezi wa green!

"makonda kuwa waziri kwenye wizara nyeti 2025,then 2030 kuwa the next magu"By magamba matatu!

Tunasubiri kuona

Makonda hawezi kua Magu huo ndo ukweli
 
Mkuu wa shule wa sasa ni mwanamke na ameingia hofu kubwa anajali sana usalama wake kuliko shule anayoiongoza

Tangu msaidizi atimuliwe kila mwalimu anaogopa kasoro mwalimu paulo

Wanaompa nguvu mkuu wa shule hawajali lolote maadam mambo yao yako poa

Mwalimu Paulo anaonekana kujiamini kuliko walimu wote

Wanaompa nguvu mwalimu mkuu wakiamua wanaweza kumuweka mwalimu paulo kuwa mwalimu mkuu awasaidie mambo yao

Mamlaka ya kamati za shule hakuna kila mwalimu anaogopa kuuwawa

Wanafunzi hali zao mbaya walimu hawafundishi na mshahara wanakula

Mgomo wa wanafunzi uliuwa wengi. Idadi kubwa ikiwa wanafunzi wanaharakati na walimu wa kujitolea

Yule mwalimu wa kujitolea alieko jela angekuwa uraiani sijui hali ingekuwa vipi maana hamuogopi mtu mwalimu paulo angekiona chamoto

Walimu wa kujitolea wamegawanyika sana wengine wanaridhika na kununuliwa kirahisi

kwa njia alizopita mwalimu paulo na kujiamini kwake hakuna wa kumzuia akiamua kuwa mwalimu mkuu

KUNA UWEZEKANO MWALIMU PAULO KUJA KUWA MWALIMU MKUU
Kwa mdomo alionao sidhani aiseee
 
Makonda wananchi walishajua ni tapeli wa kisiasa hana mvuto huo wajinga siku hizi walishapata akili suala la kukaa kimya kwenye jambo la Popole na Nchimbi na kuhusishwa na Suala la Lissu Makonda lilimvunja kisiasa na Huyu ana skendo mbaya kuhusu Magufulia alikua masaliti ukitaka kuona Makonda anachafuka ateuliwe waziri mkuu ndo utaona uchafu wake utaoimbuliwa pengeni na kujiuzuru kukatokea tena akafa kisiasa maana sio msafi kabisa utashangaa na kigogo akafufuka
 
Inawezekana kweli ukawa unafahamu vitu vingi.

Lakini kwa reply hiyo hujui chochote kuhusu mawaziri na wizara zao na jinsi wanavyoweza kukasimishwa majukumu yaliyotofauti na wizara zao..
Mimi nafanya kazi zangu za kila siku na hao mawaziri. Hicho unachokisema hakipo.
 
Makonda wananchi walishajua ni tapeli wa kisiasa hana mvuto huo wajinga siku hizi walishapata akili suala la kukaa kimya kwenye jambo la Popole na Nchimbi na kuhusishwa na Suala la Lissu Makonda lilimvunja kisiasa na Huyu ana skendo mbaya kuhusu Magufulia alikua masaliti ukitaka kuona Makonda anachafuka ateuliwe waziri mkuu ndo utaona uchafu wake utaoimbuliwa pengeni na kujiuzuru kukatokea tena akafa kisiasa maana sio msafi kabisa utashangaa na kigogo akafufuka

Ila mkubwa kigogo tunamkumbuka
 
Back
Top Bottom