Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Acha kuwatisha wanafunzi, kama Mwl anafundisha na mtihani wanafaulu shida iko wapi?Kama kuna kosa kubwa shule inaweza kufanya, ni paulo kuwa mkuu wa shule. Litakuwa ni kosa kubwa sana
Acha kuwatisha wanafunzi, kama Mwl anafundisha na mtihani wanafaulu shida iko wapi?Kama kuna kosa kubwa shule inaweza kufanya, ni paulo kuwa mkuu wa shule. Litakuwa ni kosa kubwa sana
Kama kuna kosa kubwa shule inaweza kufanya, ni paulo kuwa mkuu wa shule. Litakuwa ni kosa kubwa sana
Kumbe waziri mkuu hatoshi ama sivyo!!?au makam nae hatoshi!!?Usilolijua
Baada ya bunge kuisha, au siku chache kabla ya bunge, mh rais anayo mandate ya kukaimisha mawaziri kukagua miradi, kufungua miradi, kutoa matamko na maagizo ya serikali hata kama miradi hyo haihusu wizara yake...
Mfano, nannauka kafungua vituo vya afya, mahosptali kibao ili hali si waziri wa tamisemi, wala afya wala elimu.
Kinachowasumbua ni kuwa paulo amewakaa magegoni.
Never will happen.. ! Mark my words!Usimchukulie poa alikua karibu na chuma regime,japo walimshtukia baadae it was too late,jamaa ni smart sana ni vile underrated tu,kwenye ujinga mwingi na vituko vituko ndio yeye anapitia
Wanasema eti hata mwalim nanauka nae anakiwasha sana au ni uongo!!?Walimu wengi wanaogopa. Yeye yupo na kujiamin kuliko hata mkuu wake
Never will happen
Ipo wazi! PM mbunge wa Arusha yupo active kama namba Moja vile kiutendaji!Code ngumu sana
Mwalimu paulo As long as analamba kila matapishi ya Second Master wa " wa Chalize, anaweza.Mkuu wa shule wa sasa ni mwanamke na ameingia hofu kubwa anajali sana usalama wake kuliko shule anayoiongoza
Tangu msaidizi atimuliwe kila mwalimu anaogopa kasoro mwalimu paulo
Wanaompa nguvu mkuu wa shule hawajali lolote maadam mambo yao yako poa
Mwalimu Paulo anaonekana kujiamini kuliko walimu wote
Wanaompa nguvu mwalimu mkuu wakiamua wanaweza kumuweka mwalimu paulo kuwa mwalimu mkuu awasaidie mambo yao
Mamlaka ya kamati za shule hakuna kila mwalimu anaogopa kuuwawa
Wanafunzi hali zao mbaya walimu hawafundishi na mshahara wanakula
Mgomo wa wanafunzi uliuwa wengi. Idadi kubwa ikiwa wanafunzi wanaharakati na walimu wa kujitolea
Yule mwalimu wa kujitolea alieko jela angekuwa uraiani sijui hali ingekuwa vipi maana hamuogopi mtu mwalimu paulo angekiona chamoto
Walimu wa kujitolea wamegawanyika sana wengine wanaridhika na kununuliwa kirahisi
kwa njia alizopita mwalimu paulo na kujiamini kwake hakuna wa kumzuia akiamua kuwa mwalimu mkuu
KUNA UWEZEKANO MWALIMU PAULO KUJA KUWA MWALIMU MKUU
Wanasema eti hata mwalim nanauka nae anakiwasha sana au ni uongo!!?
Code ngumu sana
Paulo akiachwa Huwa anakiwasha Hadi kwa kupanda mikokoteni!Motiveshino spika elimu katia mfukoni anapambania ugali tu
Uliiandika kwa kiingereza kigumu sana kile,ukaona wachangiaji hawaelewi,umekuja na hii id walau mod waiiachie ili tuichangie Kwa simple language au sio!!?Motiveshino spika elimu katia mfukoni anapambania ugali tu
Kama board ya shule tutakuwa tumefikia stage ya mwisho kama tukimpatia huyo mwalimu ukuu wa shule.
Ni bora kuhama shule tu.
Hyo ni dhana kwamba makamu au waziri mkuu hawezi!Kumbe waziri mkuu hatoshi ama sivyo!!?au makam nae hatoshi!!?
Kwa hiyo kwa sasa uwanja upon wazi ili Kila MTU aonyeshe uwezo wake kirais rais!!?
Nimeshangaa sana kumuona mwalimu wa michezo yupo anakagua miundombinu na miradi ya shule na kutoa maagizo kwa wakandarasi katika mambo ambayo hayamuhusu kabisa.