ok.Mkuu wa shule wa sasa ni mwanamke na ameingia hofu kubwa anajali sana usalama wake kuliko shule anayoiongoza
tangu msaidizi
atimuliwe kila mwalimu anaogopa kasoro mwalimu paulo
Wanaompa nguvu mkuu wa shule hawajali lolote maadam mambo yao yako poa
Mwalimu Paulo anaonekana kujiamini kuliko walimu wote
Wanaompa nguvu mwalimu mkuu wakiamua wanaweza kumuweka mwalimu paulo kuwa mwalimu mkuu awasaidie mambo yao
Mamlaka ya kamati za shule hakuna kila mwalimu anaogopa kuuwawa
Wanafunzi hali zao mbaya walimu hawafundishi na mshahara wanakula
Mgomo wa wanafunzi uliuwa wengi. Idadi kubwa ikiwa wanafunzi wanaharakati na walimu wa kujitolea
Yule mwalimu wa kujitolea alieko jela angekuwa uraiani sijui hali ingekuwa vipi maana hamuogopi mtu mwalimu paulo angekiona chamoto
Walimu wa kujitolea wamegawanyika sana wengine wanaridhika na kununuliwa kirahisi
kwa njia alizopita mwalimu paulo na kujiamini kwake hakuna wa kumzuia akiamua kuwa mwalimu mkuu
KUNA UWEZEKANO MWALIMU PAULO KUJA KUWA MWALIMU MKUU
Kama kuna kosa kubwa shule inaweza kufanya, ni paulo kuwa mkuu wa shule. Litakuwa ni kosa kubwa sanaMkuu wa shule wa sasa ni mwanamke na ameingia hofu kubwa anajali sana usalama wake kuliko shule anayoiongoza
Tangu msaidizi atimuliwe kila mwalimu anaogopa kasoro mwalimu paulo
Wanaompa nguvu mkuu wa shule hawajali lolote maadam mambo yao yako poa
Mwalimu Paulo anaonekana kujiamini kuliko walimu wote
Wanaompa nguvu mwalimu mkuu wakiamua wanaweza kumuweka mwalimu paulo kuwa mwalimu mkuu awasaidie mambo yao
Mamlaka ya kamati za shule hakuna kila mwalimu anaogopa kuuwawa
Wanafunzi hali zao mbaya walimu hawafundishi na mshahara wanakula
Mgomo wa wanafunzi uliuwa wengi. Idadi kubwa ikiwa wanafunzi wanaharakati na walimu wa kujitolea
Yule mwalimu wa kujitolea alieko jela angekuwa uraiani sijui hali ingekuwa vipi maana hamuogopi mtu mwalimu paulo angekiona chamoto
Walimu wa kujitolea wamegawanyika sana wengine wanaridhika na kununuliwa kirahisi
kwa njia alizopita mwalimu paulo na kujiamini kwake hakuna wa kumzuia akiamua kuwa mwalimu mkuu
KUNA UWEZEKANO MWALIMU PAULO KUJA KUWA MWALIMU MKUU
Anaijua Hali aliyonayo mkuu wake,kama fisi ajuaye mkono utakatikia wapi!Hivi huyu mwalimu paulo hii nguvu ya kujiamini kaipata wapi wakati kuna maafisa elimu kata, wilaya hadi mkoa wanatetemeka ila yeye hajali! Je kuna nguvu nyuma yake?
Never..!Huyo aliyewahi kuchukua bakora na kumtishia mzazi hapo shuleni ndio awe mwl mkuu!!!!
Hivi huyu mwalimu paulo hii nguvu ya kujiamini kaipata wapi wakati kuna maafisa elimu kata, wilaya hadi mkoa wanatetemeka ila yeye hajali! Je kuna nguvu nyuma yake?
Deo!!?Never..!
NyamitacoDeo!!?
Mwl wa jela Yule hooligan Tu Doja tuleYule mwalimu wa kujitolea alieko jela angekuwa uraiani sijui hali ingekuwa vipi maana hamuogopi mtu mwalimu paulo angekiona chamoto
UsilolijuaKuna jambo tunaliona ,inakuaje waziri WA Sanaa na michezo yupo vocal kukagua miradi ya serikali kuliko hata waziri mkuu!!?
Deo nae anapasha si haba!
Ni mengi yanaonekana kwa ground!
Lakini kwenye mfumo huwezi jua nani anaitumikia jamuhuri na nani yupo loyal kwa mtu pekee!
"Tuheshimiane huwezi jua ya kesho ya mtu"aliwahi sikika akiwa katibu mwenezi wa green!
"makonda kuwa waziri kwenye wizara nyeti 2025,then 2030 kuwa the next magu"By magamba matatu!
Tunasubiri kuona
Kuna jambo tunaliona ,inakuaje waziri WA Sanaa na michezo yupo vocal kukagua miradi ya serikali kuliko hata waziri mkuu!!?
Deo nae anapasha si haba!
Ni mengi yanaonekana kwa ground!
Lakini kwenye mfumo huwezi jua nani anaitumikia jamuhuri na nani yupo loyal kwa mtu pekee!
"Tuheshimiane huwezi jua ya kesho ya mtu"aliwahi sikika akiwa katibu mwenezi wa green!
"makonda kuwa waziri kwenye wizara nyeti 2025,then 2030 kuwa the next magu"By magamba matatu!
Tunasubiri kuona
Usimchukulie poa alikua karibu na chuma regime,japo walimshtukia baadae it was too late,jamaa ni smart sana ni vile underrated tu,kwenye ujinga mwingi na vituko vituko ndio yeye anapitiaNever will happen
"wakubwa" wapo macho sana toka joni alivyowasumbuaNever..!