Kama utani vile mwalimu Paulo anaweza kuja kuwa mkuu wa shule

Magamba matatu amesema hivo kweli.

Maana yule jamaa ni noma
 
Hivi huyu mwalimu paulo hii nguvu ya kujiamini kaipata wapi wakati kuna maafisa elimu kata, wilaya hadi mkoa wanatetemeka ila yeye hajali! Je kuna nguvu nyuma yake?
Atakuwa alikuwa anapiga mwalimu mkuu toka enzi mumewe yupo hai! Haiwezekani mwalimu wa michezo kuwa na nguvu kuliko walimu wote mpaka makamu mkuu wa shule
 
Una taarifa kweli au umetunga tu
 
Kama mipango itasukwa vzr kama inavyoenda , headmaster anaefuata atakuwa zaidi ya headmaster 2015.
Lakin yote kwa yote Mungu ndo mueza wa yote
Zaidi kwenye engo ipi?

Vipi kuhusu demokrasia ya vyama vingi, na chaguzi huru na haki atafanya nini?
 
Mbona wanafunzi wa shule hii mnapenda kujadili vyeo vipi kuhusu masomo

Somo la uchumi linaeleweka kweli
Somo la kutengeneza nafasi za ajira
Lile somo la viwanda hivi bado lipo au limefutwa shuleni
Somo la utawala bora mbona kama darasa la saba waliopita wote walipata F

Tunawaza vyeo tu vipi ufaulu wa shule yetu

Kwani mwalimu daudi kafulia anasemaje
 

Shulen kwetu logic cyo shida zetu
 
Mkuu shule haina mipango ya muda mrefu. Kila mkuu mpya akija anaanza na masomo yake mapya na mtaala mpya.

Wanafunzi wanahongwa bagia na vishet wanatulia
 
Mkuu shule haina mipango ya muda mrefu. Kila mkuu mpya akija anaanza na masomo yake mapya na mtaala mpya.

Wanafunzi wanahongwa bagia na vishet wanatulia
Basi walau tujadili hiyo mipango yao ya mda mfupi.

Mbona tunajadili tu nani atapata cheo
 
Mwalimu Paul anakagua nidhamu ya wanafunzi imekuwa nongwa mara oooo cyo displine master ohooooo.

Mwalimu Paul ana hatali,
 
Mwalimu Paul anakagua nidhamu ya wanafunzi imekuwa nongwa mara oooo cyo displine master ohooooo.

Mwalimu Paul ana hatali,
Huku kwake ameishia kugomea jez za umitashumta .anaenda kukagua mirad wakat Mwalimu wa miradi yupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…