Huu ndio uonez wenyewe.Kizazi changu kimekosa nini wakat uzinzi nafanya kwa habar zangu binafsi? Halaf watu wakianzaga kupinga scripture kwa mambo kama haya mnaanza kuwaona sio.Kuna muda,jipe muda kama siyo yeye hata kizazi chake hakitakuwa salama.
Mkuu kwani unataka kufanyaje ?Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha, miaka nenda rudi, ila bado kipesa wako vizuri, na navowafahamu pesa zao si za kishirikina..
Hio stereotype imetoka wapi
Naunga mkono hojaHakuna uhusiano wa umasikini na uzinzi,kuna watu ni wazinzi wakutupwa ila wana maisha mzuri balaa
Inapendeza kila mtu akibeba msalaba wake, mambo ya "laana za mababu" sio haki kwa kweliHuu ndio uonez wenyewe.Kizazi changu kimekosa nini wakat uzinzi nafanya kwa habar zangu binafsi? Halaf watu wakianzaga kupinga scripture kwa mambo kama haya mnaanza kuwaona sio.
Kizaz changu kinahusika vipi.
Kitu chochote kikisemwa sana jua kinaukweli, jambo lolote lina kanuni ya muda kuleta matokeo hivyo hao unaowajua wanafanya uzinzi na Bado wapo vizuri kiuchumi wape muda utapata majibu baada ya kuanza kushuka kiuchumi.
Labda chief tukuulize ww ulietuletea Uzi huu 😂Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha, miaka nenda rudi, ila bado kipesa wako vizuri, na navowafahamu pesa zao si za kishirikina..
Hio stereotype imetoka wapi
Kazi ya pesa ni kuweka ama kutumia acha iende kua overrated 😆Ukipata fursa tumia umasikini upo
Tumia pesa utakufa uache ndugu wanazigombaniaKazi ya pesa ni kuweka ama kutumia acha iende kua overrated 😆
Ni mfumo wa nature wa uumbaji umeruhusu hivyo, hasa pale hicho kizazi kitakapoyashabikia Yale mabaya yaliyotendwa na wazazi wao, pona Yao nikuyaona kama yalikuwa chukizo basi wasiyashabukie.Huu ndio uonez wenyewe.Kizazi changu kimekosa nini wakat uzinzi nafanya kwa habar zangu binafsi? Halaf watu wakianzaga kupinga scripture kwa mambo kama haya mnaanza kuwaona sio.
Kizaz changu kinahusika vipi.
Na kuna watu hawafanyi uzinzi na ni maskini wa kutupwa....Hakuna uhusiano wa umasikini na uzinzi,kuna watu ni wazinzi wakutupwa ila wana maisha mzuri balaa