Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
Au kosa alifanyaga babu wa kizazi cha miaka hiyo afu kosa napatiliziwa mimi.. je mimi nahusika na nini akati sikuwepo.Huu ndio uonez wenyewe.Kizazi changu kimekosa nini wakat uzinzi nafanya kwa habar zangu binafsi? Halaf watu wakianzaga kupinga scripture kwa mambo kama haya mnaanza kuwaona sio.
Kizaz changu kinahusika vipi.