KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Usicheze na MunguHuu ndio uonez wenyewe.Kizazi changu kimekosa nini wakat uzinzi nafanya kwa habar zangu binafsi? Halaf watu wakianzaga kupinga scripture kwa mambo kama haya mnaanza kuwaona sio.
Kizaz changu kinahusika vipi.
Alishasema 'Nawapatiliza wana maovu ya Baba zao hata kizazi cha tatu na cha nne na ninawarehemu maelfu wanipendao na kuzishika amri zangu ....'nyieee acheni tu Mungu anatisha