Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
Au kosa alifanyaga babu wa kizazi cha miaka hiyo afu kosa napatiliziwa mimi.. je mimi nahusika na nini akati sikuwepo.Huu ndio uonez wenyewe.Kizazi changu kimekosa nini wakat uzinzi nafanya kwa habar zangu binafsi? Halaf watu wakianzaga kupinga scripture kwa mambo kama haya mnaanza kuwaona sio.
Kizaz changu kinahusika vipi.
Hahaha ata vi change vya kubadilisha mboga navyo wanavigombania pia bhana padreTumia pesa utakufa uache ndugu wanazigombania
Yesu akuokoe ndugu yang uzinzi n chukizo la mungu bora kuwa maskin ila mungu yuko na ww kuliko uwe tajir halaf una chukizo la mungu mbususu n laana kama hujaoa huwa ukiingia ndani inakukodelea sn sema unakuwa hujuiMfani hai wewe tizama porn stars wanamkwanja hatari na wanaishi kwelikweli.
Wazee wa mafanikio ya kiroho sijui ulimwengu wa nafsi mkae mbali, maana utawasikia hayo ni mafanikio ya ulimwengu wa nyama tu.
Acha uwoga chakata mbususu mkuu.
Hii mizagamuo balaaa apo unataka kutuambia nini chiefYesu akuokoe ndugu yang uzinzi n chukizo la mungu bora kuwa maskin ila mungu yuko na ww kuliko uwe tajir halaf una chukizo la mungu mbususu n laana kama hujaoa huwa ukiingia ndani inakukodelea sn sema unakuwa hujui
Yan mtu unachoka kabisaaa yani.This is really not fair kabisaaaa yanAu kosa alifanyaga babu wa kizazi cha miaka hiyo afu kosa napatiliziwa mimi.. je mimi nahusika na nini akati sikuwepo.
Kabisaaa.Hata katika akil za kawaida tuu unaanzaje kufungwa jela kwa kosa ambalo kafanya mtu mwingine eti kisa tu mna mahusiano ya damu?!Inapendeza kila mtu akibeba msalaba wake, mambo ya "laana za mababu" sio haki kwa kweli
Umasikini siyo mali tu, unaweza kuwa na mali usiwe na afya njema. Huku una mali huku unaishi kwa matumaini. Kama si umasikini ni nini huo?Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha, miaka nenda rudi, ila bado kipesa wako vizuri, na navowafahamu pesa zao si za kishirikina.
Hio stereotype imetoka wapi
IGA ufe chiefIla bwana kuna watu ni wazinzi, katika maisha yangu nimebahatika kukutana na huyu mwamba, sijui na sifikiri kama kuna mtu anamfikia. Jamaa ni mzinzi sijawahi kuona. Ndio ile mnasema amejaza semi.
Uzinzi unaleta umasikini, pesa unayospend kwa mwanamke ili umfurahishe ni nyingi na hairudi.
Hiki kitu ni kwel zinaa ina cost sana financially kwa mtu ambaye huna means reliable za kifedha.Yan una bangaiza bangaiza tu halaf ujitie kwenye uzinzi lazima ufe masikinIla bwana kuna watu ni wazinzi, katika maisha yangu nimebahatika kukutana na huyu mwamba, sijui na sifikiri kama kuna mtu anamfikia. Jamaa ni mzinzi sijawahi kuona. Ndio ile mnasema amejaza semi.
Uzinzi unaleta umasikini, pesa unayospend kwa mwanamke ili umfurahishe ni nyingi na hairudi.
Kuna msemo usemao maisha fainali uzeeni narudia tena fainali uzeeni na ujana ni maji ya moto.Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha, miaka nenda rudi, ila bado kipesa wako vizuri, na navowafahamu pesa zao si za kishirikina.
Hio stereotype imetoka wapi
Mtumishi unaijua mbususu😂🤣Yesu akuokoe ndugu yang uzinzi n chukizo la mungu bora kuwa maskin ila mungu yuko na ww kuliko uwe tajir halaf una chukizo la mungu mbususu n laana kama hujaoa huwa ukiingia ndani inakukodelea sn sema unakuwa hujui
Tumia akili tu unaishi vizurHiki kitu ni kwel zinaa ina cost sana financially kwa mtu ambaye huna means reliable za kifedha.Yan una bangaiza bangaiza tu halaf ujitie kwenye uzinzi lazima ufe masikin
Hata ukiwa na hela, kuna mahali unaumia tu lazima na downfall ni dk sifuri tu.Hiki kitu ni kwel zinaa ina cost sana financially kwa mtu ambaye huna means reliable za kifedha.Yan una bangaiza bangaiza tu halaf ujitie kwenye uzinzi lazima ufe masikin
Jamaa wana vitisho vya kusadikika.Huu ndio uonez wenyewe.Kizazi changu kimekosa nini wakat uzinzi nafanya kwa habar zangu binafsi? Halaf watu wakianzaga kupinga scripture kwa mambo kama haya mnaanza kuwaona sio.
Kizaz changu kinahusika vipi.
Hivi uzinzi tu unaowapa raha wahusika wote wawili ndiyo dhambi kubwa zaidi kuliko dhambi zote ikiwemo ile ya kukatisha uhai wa binadamu mwingine?nakubaliana na wewe mkuu
Sex is overrated,zinaa sio nzur mbali na kupoteza fedha na muda…inavutia majanga pia kwenye maisha na kizazi chako…moja kat ya kaz kubwa tunapaswa kuifanya binadamu n kujizuia,kujitawala,kujithibiti na kujiweza….
Nawewe anza uzinzi hili upate hela kama waoMikwara tu hiyo