Kama uzinzi huleta umasikini, mbona kuna watu ni wazinzi wana maisha mazuri kiuchumi?

Kwa hiyo
 
Ukiona unahonga sana ndio upate uzinifu shukuru Mungu notable ya uzinifu hauna. Ile nyota yenyewe ikikumulika utashngaa wanajileta wenyewe hata kama hauna cha kuwapa.
Yaani wanakuja wenyewe kupigwa shoo.
Hii nili experience ujanani huko. Yaani weww msingi wako ni kusimamia ukucha tu. Hii jinsia ke sijui inahadithiana utashangaa inavyounga foleni. Kuna kipindi nilishutumiwa na Wana kwamba nimeenda kuchanjwa ndere kumbe la.
 
Hahahahaaaa..... wanakuja "kupokea uponyaji" kwa foleni.. daah
 
Hizi ndio reasoning za shetani kuwahadaa watu.

Anakwambia mbona kuna watu wanatenda dhambi na wanafanikiwa,huoni Fulani!
Ukifuata hii sauti umekwisha.
 

...za kuambiwa, changanya ..!
 
Ukiwa mtenda Dhambi haimaanishi milango ya mafanikio inafunga
Mathayo 5:45
maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
Ni sahihi japo mambo haya very contradictory. Mvua hiyo hiyo, na jua Hilo Hilo wewe unakosa, mwenzio anatoboa
 
Huu ndio uonez wenyewe.Kizazi changu kimekosa nini wakat uzinzi nafanya kwa habar zangu binafsi? Halaf watu wakianzaga kupinga scripture kwa mambo kama haya mnaanza kuwaona sio.

Kizaz changu kinahusika vipi.
Mkuu usifike mbali,
 
Unakuwa umebakiza muda mfupi wa kuishi hapo.
 
Tusipangiane namna ya kuishi Kwa kutishiana tishiana tu hapa. Kila mtu Aishi kulingana na Sheria za nchi na kile ambacho Mungu wake amempatia.
 
Huu ni ujumbe ambao wengi wakiuelewa Messiah atakuwa njiani kurudi,hakika huyu ni roho wa Mungu kupitia wewe, kwa kuyajua haya umebarikiwa hakika! Na wajue mwili ni mtihani wa kwanza ndio maana Mungu mwenyewe alithubutu kuuita Hekaru takatifu, maana tunayojinyima na kuyatawala ndani yake ni ibada endelevu,hawajui!!!!!
 
Umasikini siyo mali tu, unaweza kuwa na mali usiwe na afya njema. Huku una mali huku unaishi kwa matumaini. Kama si umasikini ni nini huo?
Kama jambo halihusishi imani akili zako huwa zina charge kweli kweli.
 
Mafanikio ya kiulimwengu na misingi yake yanatekelezwa katika tamaa za kibinadamu,so si Kila mafanikio humaanisha ni ya yule Mungu Mkuu, Kuna mafanikio yanatokea kwa miungu pia, some have been connected for more than thousands years ,watakuwa matajiri kizazi hata kizazi!!
Saa nyingine ukitenda dhambi ukaanguka kimaisha ni jambo la kumshukuru Mungu,inawezekana Bado ana mpango na wewe, so kuanguka kwako ni njia tu ya kukufanya uwaze umeangukia wapi,

Ndugu asikudanganye mtu ngono Ina nguvu sana,I have an experience
 
Mfano mdogo kabisa,Leo hii ukimtokea binti kwa lengo LA sex-kuna hatua kadhaa utazipitia ambazo zote zitahusisha pesa kuanzia kutambulishana mpaka siku ya kukutana kwa sex.
Siku yenyewe ya sex,mkianza na chakula vinywaji na lodge lazima 120K na kuendelea ikatike.
Labda MTU kama hutaki fedha zikutoke basi, labda uchukue Malaya wa kupiga na kuacha
 
Hao pia wanachafua nyota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…