ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Usijali dogo wako yupo safe..tunasindikiza siku tu.Nzuri brod darling. God has been faithful. Umemissika kwa kweli
Nipo namlinda dogo kila apitapo lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali dogo wako yupo safe..tunasindikiza siku tu.Nzuri brod darling. God has been faithful. Umemissika kwa kweli
Nipo namlinda dogo kila apitapo lol
Mamdo. Niseme nini kingine tena?Vitu vingine ni rahisi tu hata havihitaji PhD kuvielewa. Pesa, muda na energy… kama unavyo vyote endelea na uzinzi.
Cheers 🥂 see you at the top.
Atoto ana hiyo taarifa lakiniUsijali dogo wako yupo safe..tunasindikiza siku tu.
Mid life crisis isikie tu dota.
All time my foot!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyu binti unamuonea sana ujue, she's my all time ujue!!
Ila vitoto vya siku hizi mna virangaaa. Mnatafuta tu tuwaroge mkatuchonganishe na Mungu.Kumbe nipo mwenyewe eeh hubby wangu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sema chochote mamdogo vijana wapone! Tumemiss maandishi yako.Mamdo. Niseme nini kingine tena?
Huyu ni mdogo wetu, vizuri kula na nduguyo 😅😅Ila vitoto vya siku hizi mna virangaaa. Mnatafuta tu tuwaroge mkatuchonganishe na Mungu.
🤣🤣 Aaah! Hiki kidogo chenu nitakihamishia usoni. Mkikanye kabla sijakilamba makofi heavy!!!Huyu ni mdogo wetu, vizuri kula na nduguyo 😅😅
Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha, miaka nenda rudi, ila bado kipesa wako vizuri, na navowafahamu pesa zao si za kishirikina.
Hio stereotype imetoka wapi
Bana bana mamdogo, uzee unanijia vibaya. Wacha niendelee kupambana nao...Sema chochote mamdogo vijana wapone! Tumemiss maandishi yako.
Miss u sana, acha kupotea hivyo.
Marahaba. Unanifurugaaaa ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dada shkamoo
Unajua wazi kabisa mdogo wako bado hana mpinzani,labda kwa mbali mbali kidogo.
Au tumbadilishe na uduvi?Mid life crisis isikie tu dota.
Nataka kumuuza huyu mtu. Mwenye kuku wawili wa supu aniletee tu nimpee.
Unamjua alivyo mtata. Si ataniulia mdogo angu?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyu binti unamuonea sana ujue, she's my all time ujue!!
Tobaaa. Naomba msamaha kwa niaba yake: hajui alitendaloIla vitoto vya siku hizi mna virangaaa. Mnatafuta tu tuwaroge mkatuchonganishe na Mungu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Marahaba. Unanifurugaaaa ujue