Kama Wakenya wameweza, sisi tunashindwa kwenda kujifunza kwao?

Kama Wakenya wameweza, sisi tunashindwa kwenda kujifunza kwao?

Chai hii! Walikuja lini SUA kujifunza kilimo cha kisasa? Acha uongo sema walikuja kutuelekeza namna ya kufundisha kilimo.
Ndio shida ya watanzania wao wanafanya kilimo cha kisasa ila mafunzo na mbegu walikuja kuyapata SUA mbona tunapenda kujidharau hivyo waafrika mbona Vladimir Putin alikuja udsm ina maana vyuo huko duniani viliisha marais wengi wa east Africa wamesoma udsm hivi watanzania nani alituroga fuatilia kitu kabla hujabisha au kukoment itakusaidi yaani ukikuta kitu kama hujui Google kwanza usibishe usitumie hyo device kuangalia pornography tu nonsense.
 
Nakubaliana na wewe kwa baadhi ya hoja zako
Ila la kulia lia hapana
Kweli kila nchi ina tamaduni zake lakini kwenye biashara nafikiri wote tuanongea lugha moja kwani biashara zilianza zamani sana Kama Silk Road
Toka China mpaka India mpaka Africa wote lugha moja ya biashara
Leo tumepata mazao mengi kutoka nje ambayo yalikuwa sio asili yake Africa bali yameletwa na watu, na sisi pia ya kwetu iwe mbegu, wanyama na hata ndege wamepelekwa sana nje ya nchi

Hakuna anaekata tamaa mkuu bali ni lazima kuwe na sheria zinazoeleweka na pia ukihitaji kujua kitu ufikie sehemu haraka na kujua bila kuzungushwa kwa uroho wa baadhi

Mimi nina kazi yangu na pia ni mfanyabiashara nje ya nchi
Nina tamani sana kupata bidhaa toka nyumbani maana tunaelewana lugha na ni rahisi kujua vingi
Kuna wakati nilikuwa nahitaji Vanilla pods na nilikuwa na soko ingawa mpaka sasa ninalo ila sio kubwa
Nikatafuta wauzaji nikakosa grade I na bei wanapanga hovyo hivyo nikaamua kuingia kwenye mtandao Madagascar. Nilipata kampuni moja genuine nakuwasiliana nao na kununua bila mimi kwenda nikapokea mzigo wangu hapa nilipo hao ni wahindi Madagascar
Sio kupenda wazungu au wengine hapana wao wako straight ana biashara unajiridhisha unasoma profile ya kampuni na kujua kama ina sifa basi
Siku hizi unaweza fanya biashara ya moja kwa moja na hata bongo zipo ila tunataka uaminifu zaidi na waache tamaa
Ukitaka leo gemstones ukiuliza tu tayari unaambiwa yapo jichanganye sasa
Mkuu changamote bado nyingi ila tunajivuta sana

Yapo mapungufu mengi na tunakatishana tamaa
Noted🙏
 
Ndio shida ya watanzania wao wanafanya kilimo cha kisasa ila mafunzo na mbegu walikuja kuyapata SUA mbona tunapenda kujidharau hivyo waafrika mbona Vladimir Putin alikuja udsm ina maana vyuo huko duniani viliisha marais wengi wa east Africa wamesoma udsm hivi watanzania nani alituroga fuatilia kitu kabla hujabisha au kukoment itakusaidi yaani ukikuta kitu kama hujui Google kwanza usibishe usitumie hyo device kuangalia pornography tu nonsense.
Ongezea maelezo kidogo hapo kwa Putin! Ilikuwaje?
 
Tulipata soko la nanasi mpingo nje, ile nchi nanasi zake mbaya hazina ladhq vidogoo vya njano!! Tulipopeleka sample yetu walizipenda saana!! Shida ikaja kwenye vibali mara rushwa mara utaratibu tulishindwa sisi!! Ila wakenya wananunua wanabrand kwao wanapeleka kwa urahisi saana!!

Tanzania huwezi kutoa biashara kupeleka nje, we tafuta ujanja wako toka nje nunua matakataka lete Tanzania uuze....!! Simple!

Hii nchi tungeamua kuwa serious kidogo tu, hakuna kijana angekosa kazi!! Midege na mimeli ya biashara ingemwagika nchini hatari!!

Watu wanalima wanakosa soko, ukisema usafirishe nje shida! Aliyetulaani alishakufa
Hii nchi mpaka inaumiza. Kuwa tu na bandari hii nchi ilifaa kuwa miongoni mwa nchi tajiri duniani. Lakini haijabahatika kupata watu sahihi.
 
Ongezea maelezo kidogo hapo kwa Putin! Ilikuwaje?
Sikia kwanza fanya mpango tuandae events ya wadau wanaosoma vitabu nimeona mijitu ni mijinga sana humu kazi yao kubisha tu kila wanatumia device kuangalia videos za gigi na uwoya hebu fanya jambo tuokoe kizazi kijacho maana hichi kilichopo tushakipoteza tayari.
 
Mkuu kuna Mbunge wa Uganda amesema itungwe sheria masikini wachapwe ili wajielewe wawe na maisha bora, unajiuliza yeye familia yake wote matajiri au amewapa hizo hela alizoiba za miradi

Hakuna watu wanafiki kama wanasiasa
Kavimbiwa Kodi za wananchi
 
Tuna mlolongo wa export permit kibao na ndio zinazokwamisha wakulima wa Kati wasipeleke mazao nje ya nchi.

Wakulima na wafanyabiashara hata kama mitaji ni midogo serikali kupitia Export Promotion Zone na Benki ya kilimo wangeruhusu Watu Wawezeshe kutumia Letter of Credit kuwasaidia wafanye export ya bidhaa zao
 
Serikali inawasaidia, pia mabenki ya Kenya yanawasaidia sanasana hiyo Equity Bank inawakopesha wafanyabiashara wengi wa Kenya. Hiyo Equity Bank ina nguvu sana Kenya na Ceo wao James Njuguna Mwangi yuko vizuri.

......

Sisi ngoja tuendelee kutafuna msambwanda kwa buku jero, 😂😂😂😂
Equity na KCB Bank kitambo wanatoa Letter of Credit na collateral management. Mtu akiwa na mzigo wake umeandaliwa vizuri anaenda bank mzigo unakuwa Chini ya Collateral akitaka ku export anafanya process zote za export huku Bank ikihudumia ila mwisho wa siku original documents kama Bill of Lading, Packing List,Quality Certificate,Certificate of Origin,Export permit zinakabidhiwa Benki na wanawekeana condition au mkataba baada ya siku 60 ukilipa pesa documents zote utakabidhiwa na mzigo unakuwa umefika nchi husika na unauzwa.
 
Mkuu usiwaone wakenya wanakuja wale hawaji na lakisaba 🤣🤣🤣🤣. Wale wamejipanga ohoo! Ngoja nikuelezee. Kuna jamaa yangu alikuwa kwenye hizo ishu alinipaga ufafanuzi wakina. Ngoja nieleze kwa urefu, samahani kama nitakosea (spellings natype fastafasta).

1. Kwanza ili uweze kuexport vitu kwenda soko la Ulaya, Marekani, Uarabuni, UAE, Dubai, Saudi Arabia. Lazima uwe na vibali ambavyo vinalipiwa pesa, uwe na vibali vya ubora kama ISO standards,EU standards, Halal standards. Hapo pesa inahitajika

2. Uwe na mtaji wa kununua mazao na kusafirisha mazao mpaka sehemu husika. Hapo pesa inahitajika

3. Uwe na eneo ambalo linakidhi ubora wa kimataifa kwa ajili ya packing, wafanyakazi, mitambo ya packaging. Maana yake ama ujenge kiwanda au ukodi jengo lenye vigezo ndio uanze uzalishaji. Na ili upate certificate ya kimataifa inabidi jengo liwe lako sasa piga hesabu ya kununua kiwanja cha Light industry au heavy industry mpaka unapata hati ya kiwanja ushatoa rushwa mpaka umechoka 🤣🤣, kujenga jengo kwa designs,michoro na ubora wa kimataifa EU,USA, ISO standards ni pesa 🤣, kuvuta umeme hapo ni kuwapa rushwa tanesco mpaka wakuletee umeme umeshachoka 🤣🤣, kuweka mitambo hapo kutafuta mitambo inayotoa bidhaa yenye ubora wa kimataifa na mpaka uitoe mitambo bandarini ushatoa rushwa ya kutosha 🤣🤣, kulipa wafanyakazi ambao wana ujuzi wa kuzalisha bidhaa yenye ubora wa kimataifa sio kulipualipua🤣 , mpaka kufikisha ubora wa kimataifa umechoka🤣🤣🤣. Hapo ni pesa tu inahitajika

4. Uwe na uwezo wakutafuta container special la kusafirisha mazao na kulipakiaa ama kwenye meli au ndege. Hapo ni pesa inahitajika

5. Uwe na connection ya upande wa pili wa unakopeleka na hao unakoexport lazima uwalipe. Na mzigo kufika mpaka kwa mteja lazima ulipe. Hapo pesa inahitajika

6. Uwe na pesa ya marketing ya bidhaa unayozalisha, na kuhudhuria international exhibition mara kwa mara ili kupata wateja wakubwa. Hapo hela inahitajika.

7. Bado kuna kulipa kodi na usafiri wa pande zote mbili, nchi unayotoa mzigo na unakopeleka, hapo kwa Tanzania mpaka uzungushwe na kusumbuliwa kweli kweli 🤣. Na Hapo hela inahitajika.

Baada ya harakati zote hizo ndio sasa unaanza kuingiza hela.

Huo mchakato wa kuzalisha bidhaa za kuexport unataka hela na ubora wa kimataifa. Ukifanya kosa moja TU umekula hasara. Mzigo kama hauna ubora wa kimataifa unatupwa. Huko wenzetu wako very serious, sio huku ukitoa rushwa mzigo feki unavuka 🤣

Ndio maana matajiri wa kibongo hawapo kwenye viwanda vya kuexport vitu kwenda soko la kimataifa. Wao wapo kwenye biashara za kuagiza vitu dubai,china, uturuki. Weka kwenye stoo na madukani unauza unapata hela bila usumbufu. Au wanajenga mahoteli na mabar mkalewe humo na kuzagamuana humo wao waingize hela. Au wanajenga sheli, mkaweke mafuta waingize hela fasta. Au wanajenga shule, mlipie ada watoto wao waingize hela. Au wananunua malori na macontena na mafuta, yapige safari za Congo, Zambia, Rwanda, Burundi, waingize hela. Au wanaweka viwanda vya unga wa ngano, juisi, energy drinks, pombe, mnunue mnywe/mle waingize hela. Au wananunua mabasi ya mkoani, weka nauli pandeni safirini, wao wanaigiza hela.

Sekta ya kuexport vitu sio rahisi kama unavyofikiria. Hao wakenya wamejipanga na ni wazoefu. Msiwachukulie poa.
Umeongea la maana sana na ukweli mtupu, tunasema ooh kwani wana akili kutushinda hapana bali mtu lazima uwe na mtaji wa kutosha na ujue biashara vizuri na pia wanaanzia mbali sana mpaka kuja kufika hapo

Waswahili tunalawama sana na kutaka short cut tu
Kaiba hela za umma anataka afanye kitu maisha yake hana hata idea nacho,
Mwingine kapata hela kidogo anadanganywa na bank manager aombe mkopo ataupitisha ale 10% yake jamaa anaingia mkenge na kuchukua mkopo say 200m
Anashusha mjengo wilayani au mkoani nyingine biashara asiyoijua mradi kamuona Juma amefanya

Wakenya wamejifunza na kuingia field miaka namjua mama mmoja analeta biadhaa tz na nchi za jirani
Anashusha Mombasa port containers mpaka 20 ni tajiri sana mama huyo na very honest ana msaada sana
Sasa sisi humu unamkuta mtengeneza nywele tu
 
Tuna mlolongo wa export permit kibao na ndio zinazokwamisha wakulima wa Kati wasipeleke mazao nje ya nchi.

Wakulima na wafanyabiashara hata kama mitaji ni midogo serikali kupitia Export Promotion Zone na Benki ya kilimo wangeruhusu Watu Wawezeshe kutumia Letter of Credit kuwasaidia wafanye export ya bidhaa zao
✅🙏
 
Ndio shida ya watanzania wao wanafanya kilimo cha kisasa ila mafunzo na mbegu walikuja kuyapata SUA mbona tunapenda kujidharau hivyo waafrika mbona Vladimir Putin alikuja udsm ina maana vyuo huko duniani viliisha marais wengi wa east Africa wamesoma udsm hivi watanzania nani alituroga fuatilia kitu kabla hujabisha au kukoment itakusaidi yaani ukikuta kitu kama hujui Google kwanza usibishe usitumie hyo device kuangalia pornography tu nonsense.

Mwambie hata VietNam walikuja Mtwara wakajifunza kilimo cha Korosho, wakabeba na miche pamoja na mbegu. Sasa hivi wao ndiyo wanatoa korosho bora kabisa duniani hata hizi za Mtwara sasa haziuziki!!
 
Umeongea la maana sana na ukweli mtupu, tunasema ooh kwani wana akili kutushinda hapana bali mtu lazima uwe na mtaji wa kutosha na ujue biashara vizuri na pia wanaanzia mbali sana mpaka kuja kufika hapo

Waswahili tunalawama sana na kutaka short cut tu
Kaiba hela za umma anataka afanye kitu maisha yake hana hata idea nacho,
Mwingine kapata hela kidogo anadanganywa na bank manager aombe mkopo ataupitisha ale 10% yake jamaa anaingia mkenge na kuchukua mkopo say 200m
Anashusha mjengo wilayani au mkoani nyingine biashara asiyoijua mradi kamuona Juma amefanya

Wakenya wamejifunza na kuingia field miaka namjua mama mmoja analeta biadhaa tz na nchi za jirani
Anashusha Mombasa port containers mpaka 20 ni tajiri sana mama huyo na very honest ana msaada sana
Sasa sisi humu unamkuta mtengeneza nywele tu
Wale watu wako vizuri. Na wamejipanga vizuri.
 
Equity na KCB Bank kitambo wanatoa Letter of Credit na collateral management. Mtu akiwa na mzigo wake umeandaliwa vizuri anaenda bank mzigo unakuwa Chini ya Collateral akitaka ku export anafanya process zote za export huku Bank ikihudumia ila mwisho wa siku original documents kama Bill of Lading, Packing List,Quality Certificate,Certificate of Origin,Export permit zinakabidhiwa Benki na wanawekeana condition au mkataba baada ya siku 60 ukilipa pesa documents zote utakabidhiwa na mzigo unakuwa umefika nchi husika na unauzwa.
Hizo bank za Kenya ziko vizuri mno. Hasa hiyo equity bank. Wamenyooka hawana konakona. Kila kitu kipo kwenye website yao.
Mfano
 
HILI NDILO TATIZO LA SEREKALI YENYE WATUMISHI WENYE URASIMU MKALI NA RUSHWA, WATUMISHI WAKE HAWAKO KATIKA KUSAIDIA AU KUWEZESHA BALI WAPO KWA KUKWAMISHA ZAIDI. (Roho mbaya tu)
Wakati mwingine si vibaya kuwashawishi wakenya hao kufungua makampuni hayo hapa Tanzania, hii itasaidia kuwapa ujasiri watanzania wengi, kuyavuta hapa ni kimkakati tu.
Bado tuna safari ndefu. Sisi tuko bize na uchawa na maV8
 
Back
Top Bottom