Kama Wanakwaya wanavaa hivi basi si ajabu Wengine kuvaa pia!

Tatizo ni kukosekana picha
 
Ngoja kondoo wa JamiiForums waje kukupa mapovu
 
Warembo wanatafuta husband...hali mbaya mtaani
Hili nalo huenda ni sababu kubwa, vitu kama mavazi, nywele na vipodozi vinachangia kwa kiasi kikubwa binti kuvutia njemba, na wao hilo wanalijua. Ndo maana ni vigumu sana kuwashawishi mabinti waende kwenye events na mavazi au mwonekano ambao hautavutia viewers wengi, hilo liko kiasili kabisa.
 
Ah wee hawa wanatuhitaji sana tuu kama vile sie tunawahitaji sema wao hitaji lao ni kuitwa mke wakati sie ni kula mbususu na kuzaliaha tuu.
Mie nasubiria miaka saba ijayo watakuwa wanawake wanatuomba tukafunge ndoa kuficha aibu
 
Hii chai ingependeza kama ingekuwa ni chai kutoka mkoani ila Kwa joto la dar chai haishuki mkuu
 
dini biashara
Dini siyo biashara.
Bali Dini ni utoaji wa huduma ya KIROHO unaoambatana na uchangiaji wa huduma hiyo kwa kuzingatia uwezo wa waumini.
Ndio maana utaona KIJIJINI ndani huko, DINI inatoa huduma lakini uchangiaji ni mdogo sana kuliko gharama ya huduma inayotolewa( Ingekuwa dini ni biashara, basi makanisa hayo yangefungwa( Kwasababu, lengo la biashara ni kutengeneza FAIDA na siyo vinginevyo)).
 
Ah wee hawa wanatuhitaji sana tuu kama vile sie tunawahitaji sema wao hitaji lao ni kuitwa mke wakati sie ni kula mbususu na kuzaliaha tuu.
Mie nasubiria miaka saba ijayo watakuwa wanawake wanatuomba tukafunge ndoa kuficha aibu
Na hili lilishatabiriwa, kuna sehemu kuna andiko kwenye bible........yaani binti anakufuata kuomba aitwe tu kwa jina lako kwamba ni mkeo, ila mambo yote mengine anajigharamikia mwenyewe.
 
Na hili lilishatabiriwa, kuna sehemu kuna andiko kwenye bible........yaani binti anakufuata kuomba aitwe tu kwa jina lako kwamba ni mkeo, ila mambo yote mengine anajigharamikia mwenyewe.
Ndio nasubiria huo utabiri utimie tujilie vyetu kwa raha
 
Kwahiyo waimbe wakiwa uchi vile....mbona pahala pa kuvaa vibaya papo....haiwezi kuwashinda sikumoja tu katika wiki kuvaa vyema kwa ajili ya Mungu
Huoni walengwa wanaohitaji kunaswa kwenye nyavu wapo hapo kanisani, wapi pengine atawapata.....hahaha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…