Kama Wanakwaya wanavaa hivi basi si ajabu Wengine kuvaa pia!

Kama Wanakwaya wanavaa hivi basi si ajabu Wengine kuvaa pia!

Dini siyo biashara.
Bali Dini ni utoaji wa huduma ya KIROHO unaoambatana na uchangiaji wa huduma hiyo kwa kuzingatia uwezo wa waumini.
Ndio maana utaona KIJIJINI ndani huko, DINI inatoa huduma lakini uchangiaji ni mdogo sana kuliko gharama ya huduma inayotolewa( Ingekuwa dini ni biashara, basi makanisa hayo yangefungwa( Kwasababu, lengo la biashara ni kutengeneza FAIDA na siyo vinginevyo)).
Pole mchungaji imekuuma lakini ndo hivo dini biashara
 
Acha ndoto wee huwezi kuolewa🤣🤣🤣
Nani ataoa mwanamke mwenye tatoo kwenye tako🤣🤣🤣🤣
Ha ha haa,ndo maana namiss kuchat nawe aisee,we jana si nilisema natania bhana...sijachora tafadhali
 
Around saa mbili na ushee asubuhi ya Leo ,nimeshuka zangu Chanika kituo kinaitwa Kwa Ngwale.

Natembea zangu mdogo mdogo naelekea eneo husika,Kwa mbali nasikia sauti za ibada hasa ulichukulia Leo ni siku ya ibada Kwa ndugu zetu Wakristo.

Mara paap nakaribia katika kanisa moja na huko ndani ibada zinaendelea, kama unavyojua macho hayana pazia, upande wa kushoto nafika usawa WA geti la Kanisa na geti lipo wazi,nashawishika kuangalia ndani ya Kanisa kwakuwa geti lipo wazi,kuna kondoo wengine WA bwana wapo ndani ya Kanisa na wengine wapo nje,huenda walikuwa wanasubir misa ya pili.

Mara nawaona vijana wa kiume wamevaa Sare nzuri za bluu Kwa mwonekano wao ni rahisi kuwatambua kuwa hawa ni Wanakwaya ,wamependeza Sana kwakweli,sasa mara upande mwingine nawaona mabinti nao wamevaa Sare za bluu vile vile,lakini jinsi zilivyoshonwa ndio zikanifanya nitahayari Kwa mwonekano wao.

Karibia wote Sare zao zimewabana na kuchora maumbile Yao ya kike,yaani hata Yule ambaye ana kalio dogo nalo limebanwa linaonekana,na hapo ndipo nilipopata mshangao.

Ni dhahir kabisa zilishonwa Kwa maelekezo maalumu,kwasababu isingekuwa hivyo basi huenda ingetookea Kwa mmoja au wawili Tu.

Je Uongozi WA Kanisa Una bariki hivi?

Je kiongozi wa kwaya anabariki hivi?

Je waumini wanaridhika na hili?

Unapata jawabu moja Tu,kuwa Hilo Jambo linachukuliwa kawaida na ndio maana hata waumini wanaenda na vimini makanisani!

Ni hayo Tu!
Mkuu usishangae,miaka mingi tumepigwa upofu!Kumbe haya makanisa ni vichaka vya Shetani,wala hajawahi kuyaachia baada ya kujitenga na Catholicsism.Papa mwenyewe amesema madhehebu hayo ni makahaba,Kanisa la Roma lenyewe likiwa ndilo Mama wa Makahaba hayo!The so called Churches,kumbe kujitenga na Catholicsism haikuwa lolote,but was a tactical move by Satan kuwadanganya watu ili kuendeleza the Pagan Worship practised by the Catholic Church.So usishangae mkuu,it is part of the game.

Pope Francis himself has revealed it all,watch this👇.Ila usifurahi kama wewe ni Muislam,you are not safe either.Infact hali ya Islam is even worse.

 
Mkuu unadhani kama ningepiga picha pale ingeelewekaje?
Mkuu lete picha 😂😂😂 Hapa Jirani yangu Kuna kanisa la Roma ibada ikiisha huwa anaitisha creti ya safari au Kilimanjaro then watakao wanamwagilia Moyo ...nikasema hii hapana
 
Back
Top Bottom