Kama wanawake hawakupendi na huna hela jifunze kupiga Saxophone, utawakimbia

Umenisikitisha sana mkuu.

Kanisani wanakuona mtumishi kumbe muhuni flani tu.

Sidhani hawa wanawake wa kitanzania hata wanaume wanaifahamu hiyo saxophone.
 
SIo tarumbeta ni saxophone,usichanganye,tarumbeta ni kelele tu
Bro vyote hivyo mashavu huvimbaa mule mule tu, huyo anaisifia saxo cause unaweza iweka mfuko suruali 🀣🀣🀣
 
Niwe mkweli sijaelewa mpaka leo nieleweshe mkuu
Kutoka kwenye neno universe.

Uni-verse( one- truth song).

Katika ulimwengu kuna viumbe mbalimbali mfano binadamu, wanyama,ndege, wadudu, samaki n.k

Watu wengi wanajua au kuaminishwa kuwa wanaishi katika ulimwengu au universe jambo ambalo halina ukweli au uhalisia. Ukweli ni upi? You are the universe, you are not in the universe.

Ukitambua kwamba wewe au mimi ni part and parcel ya universe, kwamba hakuna utofauti bila kutumia nguvu au akili utafahamu lugha ya ulimwengu.

Ulimwengu hauelewi lugha za kingereza, kichina,kiswahili, kifaransa, kijerumani n.k

Universal language ni moja tu inahusika na energy ambayo ni frequency and vibration.

Ulishasikia msemo wa aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea? Maana yake ni lugha ya ulimwengu ukiwaza maradhi utaandamwa na maradhi ukiwaza mafanikio basi utavutia mafanikio. Likes attract Like.

Muziki au vyombo vya muziki vinatoa sauti ambazo zipo katika frequency tofauti, ndio maana ukisikiliza baadhi ya miziki unapata hisia ya furaha, huzuni n.k. Ni muhimu sana kuchagua muziki wa kusikiliza kutokana na haitaji lako.

Mifano ya frequency mbalimbali na faida zake:

174Hz: Remove pains
285Hz: Influence energy field
396Hz: Liberate you of fear & guilt
417Hz: Facilitate change
432Hz; Miracle tone nature

Ukija kwenye chombo kama saxophone au piano Kuna frequency ambayo ukipiga inafanya kazi na kuwa na manufaa kwa anayesikiliza kutegemea na vibration ya energy aliyokuwa nayo.

Mfano muziki wa reggae wa bob Marley au lucky Dube frequency zake zinaamsha hisia Kali sana ndio maana watawala waliwachukia sana Bob Marley na Lucky Dube sababu muziki yao iliwaondoa watu uoga na watu walijitambua na kujiamini.
 
Nimekuelewa sana mkuu kuna wimbo mmoja unaitwa Gloomy Sunday,uliwahi kupigwa marufuku nchi kadhaa ulaya inasemekana watu wengi waliokuwa na msongo wa nawazo walipokuwa wakiusikiliza wanacomitt suicide,bila kujali kama walikuwa wanaelewa lugha ya huo wimbo,ina maana frequence zqke ndizo zilizosababisha,watanzania tumecheza sana nyimbo za kingala,tumepata feeling na nyimbo za celine dion lakini wengi tukiwa hatuelewi kinachoimbwa,nimekupata sana mkuu
 
Mkuu mdukuzi Adverse Effect kwanza niwape hongera kwa uchambuzi yakinifu juu music,mnauelewa kwa namna ya kipekee sana
katika pitapita nilikutana na application ya british army kwa commonwealth countries ajabu ni kuwa watu wengi walikataliwa isipokuwa walioomba music pekee,na ukiangalia ma lance corporal wa muziki wamebobea kwenye saxophone na gitaa.
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…