Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bro vyote hivyo mashavu huvimbaa mule mule tu, huyo anaisifia saxo cause unaweza iweka mfuko suruali 🤣🤣🤣SIo tarumbeta ni saxophone,usichanganye,tarumbeta ni kelele tu
Kutoka kwenye neno universe.Niwe mkweli sijaelewa mpaka leo nieleweshe mkuu
Nimekuelewa sana mkuu kuna wimbo mmoja unaitwa Gloomy Sunday,uliwahi kupigwa marufuku nchi kadhaa ulaya inasemekana watu wengi waliokuwa na msongo wa nawazo walipokuwa wakiusikiliza wanacomitt suicide,bila kujali kama walikuwa wanaelewa lugha ya huo wimbo,ina maana frequence zqke ndizo zilizosababisha,watanzania tumecheza sana nyimbo za kingala,tumepata feeling na nyimbo za celine dion lakini wengi tukiwa hatuelewi kinachoimbwa,nimekupata sana mkuuKutoka kwenye neno universe.
Uni-verse( one- truth song).
Katika ulimwengu kuna viumbe mbalimbali mfano binadamu, wanyama,ndege, wadudu, samaki n.k
Watu wengi wanajua au kuaminishwa kuwa wanaishi katika ulimwengu au universe jambo ambalo halina ukweli au uhalisia. Ukweli ni upi? You are the universe, you are not in the universe.
Ukitambua kwamba wewe au mimi ni part and parcel ya universe, kwamba hakuna utofauti bila kutumia nguvu au akili utafahamu lugha ya ulimwengu.
Ulimwengu hauelewi lugha za kingereza, kichina,kiswahili, kifaransa, kijerumani n.k
Universal language ni moja tu inahusika na energy ambayo ni frequency and vibration.
Ulishasikia msemo wa aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea? Maana yake ni lugha ya ulimwengu ukiwaza maradhi utaandamwa na maradhi ukiwaza mafanikio basi utavutia mafanikio. Likes attract Like.
Muziki au vyombo vya muziki vinatoa sauti ambazo zipo katika frequency tofauti, ndio maana ukisikiliza baadhi ya miziki unapata hisia ya furaha, huzuni n.k. Ni muhimu sana kuchagua muziki wa kusikiliza kutokana na haitaji lako.
Mifano ya frequency mbalimbali na faida zake:
174Hz: Remove pains
285Hz: Influence energy field
396Hz: Liberate you of fear & guilt
417Hz: Facilitate change
432Hz; Miracle tone nature
Ukija kwenye chombo kama saxophone au piano Kuna frequency ambayo ukipiga inafanya kazi na kuwa na manufaa kwa anayesikiliza kutegemea na vibration ya energy aliyokuwa nayo.
Mfano muziki wa reggae wa bob Marley au lucky Dube frequency zake zinaamsha hisia Kali sana ndio maana watawala waliwachukia sana Bob Marley na Lucky Dube sababu muziki yao iliwaondoa watu uoga na watu walijitambua na kujiamini.
😂😂😂😂😂😂Napata mashaka kukuelewa wewe una umri gani kama mpaka leo bado unawaza kufanya kitu kuwashawishi wanawake kwamba kipaumbele chako bado ni kupata mademu?
HahahaView attachment 3135186
Hiki kidubwasha ni hatari sana,nuliwahi kuishi nchi fulani sitaitaja jina,sikuwa na kazi ya kufanya,nikajiunga bendi ya wajamaica tukipiga Jazz na Salsa kwenye mahoteli makubwa,mimi nilikuwa napiga hiki kidude,nilikuwa nagombaniwa na wanawaje mpaka nikapata mshangazi wa kizungu.
Baada ya kurudi nchini nilijiunga kwaya ya kanisani ile ya praise and worship.,nilifanya mageuzi makubwa ya kwaya,sehemu ya vinanda nilitoa nikarepkace na sauti ya saxophone,
View attachment 3135262View attachment 3135262
Hizi saxophone ziko aina tatu Altor Tenor na Saprano..mimi hupendelea hizo mbili za mwanzo.nimesahau kuna bass pia
Msichanganye saxophone na tarumbeta,trumpet,ni vitu tofauti kabisa
Sasa wakati wa nyimbo za kuabudu huwa nakipuliza kwa misifa na unavyojua makanisa ya kilokole asilimia kubwa huwa ni wakina mama,...kuna siku nilikipuliza nikakuta kanisa zima wanalia kwa hisia kama wamefiwa,kucheki jirani yangu kuna dada vinyweleo vimemsimama.
Ni vile sina pepo la uzinzi ningemaliza kondoo wa bwana
Sema bei yake imechangamka,hakipungui laki saba.
Mimi nilizaliwa nilikikuta nyumbani,kule upareni janisa la kKKT zamani hakuna ibada bila kwaya ya matarumbeta,nadhani wajerumani wamisionari ndio waasisi wa tarumbeta makanisani.
Kama mpenzi wako amenuna au umemkasirisha mpigie taratiibu lazima akusamehe.
Wanawake wanapenda sana wanaume wenye talent hasa ya muziki,ila katika wasanii wote wapiga saxophone wanavutia sana wanawake
NB sifundishi wala siuzi saxophonenaomba mniekewe,kwa sasa niko babati nalima ngano
Watoto wa 2000 endeleeni kutafuta hela,Umri wenu bado mdogo na kizazi chenu hamjui kupiga ala za muziki,uzi huu ni kwa wazee wakiokata tamaa ya utafutaji na wako lonely