THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Ilianza na ndugai
Now Emma..
Hiki chama hakitakuja kutoka kwa maneno na njia ya Amani.
Now Emma..
Hiki chama hakitakuja kutoka kwa maneno na njia ya Amani.
HAITOKUJA KUTOKEA HICHO KITU.Nashangaa watu wanaoamini hiki chama kitaleta kabsia? Never on earth
Hao ndio matako kabisa wanajiita jeshi la wananchi halafu wananchi wanapigwa risasi kama kuku mbele yao ! Hao ni khuma kabisa! Wabadilishe tu jina liwe jeshi la watawalaWanajeshi wamekaa pembenii wanaangalia Tu
Jeshi lingekuwa na Akili timamu wangeikomboa hii nchi
Walifanya makosa tokea 2021Wanajeshi wamekaa pembenii wanaangalia Tu
Jeshi lingekuwa na Akili timamu wangeikomboa hii nchi
Nishajaribu mara kadhaa kuandika uzi kuhusu hilo swala...mods hua wanaula kichwaCCM hii bila mapinduzi ya kijeshi haiwezi kutoka madarakani.
Hadi kiamaCCM na ukweli hawapatana
KabisaaWalifanya makosa tokea 2021
Tàtizo wataanzia wapi kila mkoa wilaya kuna kikosi na watapangia waoi wakati humo humo kuna wale watu taarifa hamjakaa ishapelekwa juuWanajeshi wamekaa pembenii wanaangalia Tu
Jeshi lingekuwa na Akili timamu wangeikomboa hii nchi
Na jeshi lenyewe ni ccmCCM hii bila mapinduzi ya kijeshi haiwezi kutoka madarakani.
Wanene wote huko jeshini ni makada wa CCM na wanakula mema ya nchi na hili ndiyo tatizo kubwa sana kwa nchi hii, CCM siyo chama cha siasa bali ni chama dola hivyo ukishindana nao ujue unashindana na dola nzima.Na jeshi lenyewe ni ccm
Katiba mnayoita Mpya inamsaidia nani?Ilianza na ndugai
Now Emma..
Hiki chama hakitakuja kutoka kwa maneno na njia ya Amani.
Hao wajeda chawa wavaa madera ya mabakamabaka bado una imani nao ya kuwa upande wa wananchi? Hao ni mashoga tu kama mashoga wengine.Wanajeshi wamekaa pembenii wanaangalia Tu
Jeshi lingekuwa na Akili timamu wangeikomboa hii nchi
Nchi hii ishaharibiwa vibaya mnoWanene wote huko jeshini ni makada wa CCM na wanakula mema ya nchi na hili ndiyo tatizo kubwa sana kwa nchi hii, CCM siyo chama cha siasa bali ni chama dola hivyo ukishindana nao ujue unashindana na dola nzima.