Kama wao tu ndani ya chama mtu akisema ukweli ana lazimishwa ajiuzulu ndio wawaletee katiba mpya?

Kama wao tu ndani ya chama mtu akisema ukweli ana lazimishwa ajiuzulu ndio wawaletee katiba mpya?

Pole pole usimsahau!!! Nashangaa kwnn ccm hawapendi ukweli walahi!!! Yani kwao mtu akiwa anasema kweli hapendi uhuni wanaoufanya ni threat kwao😂
 
Alafu utasikia vilaza kutoka hapohapo ccm wanakwambia chadema hamna demokrasia. Wanatoka watu wanabwabwaja watakavyo wengine wamefungulia chama kesi mahakamani. Lakini husikii mambo kama haya ya ccm.
 
Back
Top Bottom