THE FIRST BORN JF-Expert Member Joined Apr 24, 2019 Posts 2,516 Reaction score 5,463 Aug 27, 2026 Thread starter #21 M O N S T E R said: Hao wajeda chawa wavaa madera ya mabakamabaka bado una imani nao ya kuwa upande wa wananchi? Hao ni mashoga tu kama mashoga wengine. Click to expand... FULL STOP
M O N S T E R said: Hao wajeda chawa wavaa madera ya mabakamabaka bado una imani nao ya kuwa upande wa wananchi? Hao ni mashoga tu kama mashoga wengine. Click to expand... FULL STOP
A abidemi JF-Expert Member Joined Nov 4, 2023 Posts 314 Reaction score 508 Aug 27, 2026 #22 Pole pole usimsahau!!! Nashangaa kwnn ccm hawapendi ukweli walahi!!! Yani kwao mtu akiwa anasema kweli hapendi uhuni wanaoufanya ni threat kwao😂
Pole pole usimsahau!!! Nashangaa kwnn ccm hawapendi ukweli walahi!!! Yani kwao mtu akiwa anasema kweli hapendi uhuni wanaoufanya ni threat kwao😂
M Mtoto wa Shule JF-Expert Member Joined Nov 16, 2014 Posts 21,572 Reaction score 15,610 Aug 27, 2026 #23 THE FIRST BORN said: Ilianza na ndugai Now Emma.. Hiki chama hakitakuja kutoka kwa maneno na njia ya Amani. Click to expand... Kwahiyo unaseamje sasa? Unataka wenzio wakinukishe na wewe ubaki Jf Keyboard Warrior sio? Ahahahahahah!
THE FIRST BORN said: Ilianza na ndugai Now Emma.. Hiki chama hakitakuja kutoka kwa maneno na njia ya Amani. Click to expand... Kwahiyo unaseamje sasa? Unataka wenzio wakinukishe na wewe ubaki Jf Keyboard Warrior sio? Ahahahahahah!
B Byakatonda JF-Expert Member Joined Oct 14, 2021 Posts 475 Reaction score 927 Aug 27, 2026 #24 Alafu utasikia vilaza kutoka hapohapo ccm wanakwambia chadema hamna demokrasia. Wanatoka watu wanabwabwaja watakavyo wengine wamefungulia chama kesi mahakamani. Lakini husikii mambo kama haya ya ccm.
Alafu utasikia vilaza kutoka hapohapo ccm wanakwambia chadema hamna demokrasia. Wanatoka watu wanabwabwaja watakavyo wengine wamefungulia chama kesi mahakamani. Lakini husikii mambo kama haya ya ccm.